Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hina maana hakusindikizwa na mke wake au hata mtoto wake mmojaAmechukuliwa usiku wa manane na watu waliojitambulisha kwamba ni askari ambao walikataa kutoa vitambulisho, sasa kwa nini wanafamilia walisubiri siku nne? Kwanini hawakuanza kufuatilia usiku huo huo? Siku hizi kuna simu za mkononi Je, walianza hizo pilika pilika na kuuliza?
Post ya Zito inaonyesha kwamba TISS wanahusika, Je, anao ushahidi?
Uyo ajatekwa watu wakija nyumbani kwako wakikuchukua ni kutekwa?Tatizo ni kwamba wanateka wanajulikana na bado wanatamba mitaani
Solution ni kudeal na ndugu zao
Kwani amewataja Tiss?
Hata Baghdad alikuwa ana sali sana..Sura yake tu inaonyesha dalili fulani...! Anasali sana hivyo nafikiri Mwenyezi Mungu atamponya kwa lolote lile!
Ni jina sio sifaMbona picha yake inaonekan ni kijana then mmesema ni mzee.
Kwanini unam reference Mzee Mwanakijiji ? Wewe unadhani anapinga uonevu wa raia? Acha hizo na wewe nilikuwa nikikuheshimu...hili suala hata Mzee Mwanakijiji aliwahi kulitahadharisha jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama.
..kumezuka tabia ya Polisi kuvaa nguo za kiraia, kubeba silaha za kivita, na kutekeleza majukumu ya jeshi la Polisi.
..Utaratibu huo mpya ndiyo unaotoa mwanya wa kufanyika hayo yaliyomtokea mhusika anayedaiwa na Zitto kuwa ametekwa na wanausalama.
..Itafika mahali wananchi watashindwa kutofautisha kati ya Polisi na majambazi.
Zito is a disgrace.Na kuna watu wamechinjwa huko juzjuzi tu ila zito haku tweet, ila huyo machinga na passport yake katweet, sasa mmoja ana faida kuliko wengi, au hao waliowachinja hao anawajua?
Rudia kusoma uliyoandika na palipoandikwa haruhusiwi ktk niliyoandika. We si shahidi wa huyu ana kitambulisho cha machinga cha 20,000/= yaani hana uwezo wa kulipia kodi ya biashara yake bali uwezo wa kulipia kodi ya moko wake na uwezo wa kusafiri ughaibuni😂😂Machinga hana uwezo wa kunua? Hastahili kununua Mali anayo taka na kuimiliki? Je ndg zake hawa ruhusiwi kumsaidia? Kumnunulia ? Kumjengea? Ukiwa machinga hutakiwi kufanya maendeleo?
Hiyo sura Ni Kama ya gaidi
Hata kama ni usiku, si wanakwenda polisi, na kuwaambia ndugu, kesho njooni kituo fulani cha polisi, sasa polisi, hawajui nao!!