Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
- Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC, Djuma Shabani kupitia EFM Sports HQ.
#KitengeSports
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi ni bonge la kocha, Yanga yake ya bakuli ingepataje wachezaji wazuri kama sasa. Msichukie watu wanaotoa ushauriYeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Ndiyo tatizo lenu hamtaki kusikia ukweli mnataka kusikia kile mnachotaka kusikia.Yeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Ndiyo tatizo lenu hamtaki kusikia ukweli mnataka kusikia kile mnachotaka kusikia.
Mwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.
Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..
Zahera..”Ukienda Tp Mazembe huwezi pata rais MoiseKatumbi anakutana na wachezaji kila saa kupiga mustory kupigiana masimu,chezaji wakisikia rais anakuja wanajua leo kuna kitu musito naendelea,hapa rais wa timu na na chezaji wamezoeana mupaka chezaji hawaeshim ongozi ya chini”….Mwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.
Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..
Kama kweli amesema hayo maneno, basi kibarua chake kiko mashakani.Zahera..”Ukienda Tp Mazembe huwezi pata rais MoiseKatumbi anakutana na wachezaji kila saa kupiga mustory kupigiana masimu,chezaji wakisikia rais anakuja wanajua leo kuna kitu musito naendelea,hapa rais wa timu na na chezaji wamezoeana mupaka chezaji hawaeshim ongozi ya chini”….
Kusema anaitamani kazi ya ukocha ndiyo kumponda! Kuwa serious wewe.Sasa umemponda halafu umeungana na kabuki yake, na umeenda mbali zaidi kwa kuongeza na wachezaji wengine.
Utopolo akili zenu zimeenda wapi?
Mchukueni hapo simba Kama ni bonge la kochaMwinyi ni bonge la kocha, Yanga yake ya bakuli ingepataje wachezaji wazuri kama sasa. Msichukie watu wanaotoa ushauri
Huko Utopolo yamejaa mapooza tupuSasa umemponda halafu umeungana na kabuki yake, na umeenda mbali zaidi kwa kuongeza na wachezaji wengine.
Utopolo akili zenu zimeenda wapi?
Kocha mzuri anaanzaje kumsajili Kindoki na Ndama Mutoto ya Ng'ombe?Mchukueni hapo simba Kama ni bonge la kocha