Mwinyi Zaheera; Shaban Djuma Kiwango Kimeshuka na Amekua Bonge Sana Siku Hizi

Mwinyi Zaheera; Shaban Djuma Kiwango Kimeshuka na Amekua Bonge Sana Siku Hizi

Zahera..”Ukienda Tp Mazembe huwezi pata rais MoiseKatumbi anakutana na wachezaji kila saa kupiga mustory kupigiana masimu,chezaji wakisikia rais anakuja wanajua leo kuna kitu musito naendelea,hapa rais wa timu na na chezaji wamezoeana mupaka chezaji hawaeshim ongozi ya chini”….
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kwel
 
Mwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.

Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..
Nilisema haya kabla hajasema yeye Juma,Bangala,Aucho Ile sio miili ya uchezaji na inaonekana hawafanyi mazoezi ya kutosha hauhitaji elimu ya ukocha kujua kuwa wamekuwa wazembe huu ni ukweli na ufanyiwe kazi
 
Zahera ni mropokaji sana.

Huyu zahera ndiye aliyemleta David Molinga, Ndama Falcao, mtu mziiiiito.

Leo hii anamponda Djuma shaaban, upande wa Djuma. Haujaruhisu goli hata Moja.
 
Tarehe 23 anakutana na okrah magic kazi anayo atasema tu umri wake sahihi
 
Yeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Katika makocha waliofanya vema Yanga ni mwinyi. Wakati wake Yanga ilikuwa na wachezaji wa kiwango cha kawaida sana lakini aliisuka timu kuhimili ushindani hata kama hakuchukua kikombe. Migomo kila siku, mpaka inafikia anatumia pesa zake kuhakikisha timu inafanya vema. Tusimchukie kwa kusema anachokiona, tumpe heshima yake. Kwa wanaomjua vena tangu akiwa kocha, mwinyi ana tabia ya kusema ukweli tu, sio mtu wa propaganda.
 
Zahera ni mropokaji sana.

Huyu zahera ndiye aliyemleta David Molinga, Ndama Falcao, mtu mziiiiito.

Leo hii anamponda Djuma shaaban, upande wa Djuma. Haujaruhisu goli hata Moja.
Kumbuka wakati huo Yanga ilikuwa na hali gani kiuchumi. Kumbuka kuondoka kwa kutumia na Dante, Ajibu, Gadiel, Mnata nk. Mwinyi ni kocha mzuri mno
 
View attachment 2391199🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.”

- Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC, Djuma Shabani kupitia EFM Sports HQ.

#KitengeSports
Kweli nyani haoni kundule🤣🤣🤣 papaa sii ndio alimleta molinga akiwa tipwa tipwa alafu anatuambia kuwa ni bonhe la professional player 🤣🤣🤣🤣
 
Wachezaji wengi wa yanga wamenenepa muangalie aucho juma shabani na mwamnyeto mazoezi ya gym kwa wachezaji hayafai wachezaji wa yanga wananenepa sana
 
Yeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Sasa kwa yanga kwa mwinyi zahera kumaliza nafasi ya pili bado unamkejeli na wachezaji alikuwa anawapa hela kutoka mfukoni mwake mpe heshima yake mwinyi zahera
 
Mwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.

Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..
Anaitamani vp wakati ni kiongozi wa yanga anasimamia team ya vijana hana njaa yeye kaongea kuisaidia team
 
Back
Top Bottom