Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,874
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kwelZahera..”Ukienda Tp Mazembe huwezi pata rais MoiseKatumbi anakutana na wachezaji kila saa kupiga mustory kupigiana masimu,chezaji wakisikia rais anakuja wanajua leo kuna kitu musito naendelea,hapa rais wa timu na na chezaji wamezoeana mupaka chezaji hawaeshim ongozi ya chini”….
Nilisema haya kabla hajasema yeye Juma,Bangala,Aucho Ile sio miili ya uchezaji na inaonekana hawafanyi mazoezi ya kutosha hauhitaji elimu ya ukocha kujua kuwa wamekuwa wazembe huu ni ukweli na ufanyiwe kaziMwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.
Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..
Zahera ni mropokaji sana.
Huyu zahera ndiye aliyemleta David Molinga, Ndama Falcao, mtu mziiiiito.
Leo hii anamponda Djuma shaaban, upande wa Djuma. Haujaruhisu goli hata Moja.
Katika makocha waliofanya vema Yanga ni mwinyi. Wakati wake Yanga ilikuwa na wachezaji wa kiwango cha kawaida sana lakini aliisuka timu kuhimili ushindani hata kama hakuchukua kikombe. Migomo kila siku, mpaka inafikia anatumia pesa zake kuhakikisha timu inafanya vema. Tusimchukie kwa kusema anachokiona, tumpe heshima yake. Kwa wanaomjua vena tangu akiwa kocha, mwinyi ana tabia ya kusema ukweli tu, sio mtu wa propaganda.Yeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Kumbuka wakati huo Yanga ilikuwa na hali gani kiuchumi. Kumbuka kuondoka kwa kutumia na Dante, Ajibu, Gadiel, Mnata nk. Mwinyi ni kocha mzuri mnoZahera ni mropokaji sana.
Huyu zahera ndiye aliyemleta David Molinga, Ndama Falcao, mtu mziiiiito.
Leo hii anamponda Djuma shaaban, upande wa Djuma. Haujaruhisu goli hata Moja.
Kweli nyani haoni kundule🤣🤣🤣 papaa sii ndio alimleta molinga akiwa tipwa tipwa alafu anatuambia kuwa ni bonhe la professional player 🤣🤣🤣🤣View attachment 2391199🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.”
- Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC, Djuma Shabani kupitia EFM Sports HQ.
#KitengeSports
Kwa kusema ukweli?Kama kweli amesema hayo maneno, basi kibarua chake kiko mashakani.
Sis tuna kochaz tayari, na hapa tunazungumzia mawazo ya Mwinyi sio ajira yakeMchukueni hapo simba Kama ni bonge la kocha
Siku zote ukweli unauma.
Sasa kwa yanga kwa mwinyi zahera kumaliza nafasi ya pili bado unamkejeli na wachezaji alikuwa anawapa hela kutoka mfukoni mwake mpe heshima yake mwinyi zaheraYeye si alishindwa kupata ubingwa Kama angekuwa kocha kweli si angelikuwa na timu maneno mengi halafu zero tu kichwani uwa siwaamini hata kidogo makocha wenye maneno mengi.
Anaitamani vp wakati ni kiongozi wa yanga anasimamia team ya vijana hana njaa yeye kaongea kuisaidia teamMwinyi Zahera bado anaitamani sana kazi ya ukocha pale Yanga! Sema tu ndiyo hivyo tena, Profesa na Kaze wanamuwekea kiwingu.
Ingawa kwa Djuma Shabani na baadhi ya Mastaa wenzake, kuna ukweli wa hicho alichosema. Waongeze bidii ya kufanya mazoezi, yakiwemo yale ya binafsi! ili kupunguza vitambi..