inawezekana ni kweli, lakini hakuna chochote alichopata mashindano yote huwa yanamuangalia wa kwanza, wa pili na wa tatu, hata kama atatangazwa mmoja, lazima hao wengine waangaliwe, anavyosema alipewa tu ticket Kuna uhalisia?Hii ilisemwa wakati huohuo labda kama waandishi hawajui ngeli, kulikuwa hakuna zawadi ya mshindi wa pili na ukitaka kuamini hilo waulize hao waandishi ilikuwa ni kiasi gani zawadi ya mshindi wa pili, kila mwandishi atakuja na jibu lake.
Pia wabongo wana roho mbaya waliamua tu kumuharibiaHii ilisemwa wakati huohuo labda kama waandishi hawajui ngeli, kulikuwa hakuna zawadi ya mshindi wa pili na ukitaka kuamini hilo waulize hao waandishi ilikuwa ni kiasi gani zawadi ya mshindi wa pili, kila mwandishi atakuja na jibu lake.
Ndio maana tunasema amechelewa kutupiga hizo fix, na haimsaidii chochote kama alinywea na kutumia kwa wanawake akae kwa kutuliaHuyu mwamba anatupiga fix mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
Maisha ni safari ndefu sana ina mafumbo na sintofahamu nyingiMwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa.
Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili:
View: https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m
View: https://youtu.be/KWuJuYhuouc?si=NwNOWNH2Jg1AHdA6
Uhalisia upo kwa mujibu wa waandaaji, mwisho alichoambulia ni umaarufu na pesa za matangazo baada ya big brother, lakini kusema alipewa hela nakataa kwakuwa waandaaji wenyewe walisema hawana zawadi ya mshindi wa pili wala watatu.inawezekana ni kweli, lakini hakuna chochote alichopata mashindano yote huwa yanamuangalia wa kwanza, wa pili na wa tatu, hata kama atatangazwa mmoja, lazima hao wengine waangaliwe, anavyosema alipewa tu ticket Kuna uhalisia?
HakikaVijana wengi hawana Elimu ya Uwekezaji, ndiyo maana wengi wakifanikiwa kupata bingo huishia kutumia kwenye Ulevi na Wanawake tu
Mwangalie Mwisho Mwampamba na ndugu yake Idrisa Sultan
Diamond Platinums, alishtuka mapema kuanza kuwekeza vinginevyo naye angeingia kwenye hili kundi
Lile GHOROFA allilopanga makongo na kuishi na Ray C alipewa bure ? Ile Subaru aliyokuwa nayo alipewa bure ? Kila siku alikuwa anaamka mchana na kucheza pool table na wana pale makongo mwisho na kuwanunulia bia . Je hizo bia alikuwa anapewa bure ?Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa.
Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili:
View: https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m
View: https://youtu.be/KWuJuYhuouc?si=NwNOWNH2Jg1AHdA6
Kashafilisika uyo🤣🤣 Jamaa amesubiria karibia miongo miwili ndio aseme mbona hakusemaga
Wangekuwa wako willingly wangekuwa wanaajiri financial advisor kwaajili ya kuwashauri namna ya kuwekeza pamoja na Matumizi sahihi ya Fedha zaoHakika
Huyuu ni mhuni sasa anazeeka vibayaLile GHOROFA allilopanga makongo na kuishi na Day C alipewa bure ? Ile Subaru aliyokuwa nayo alipewa bure ? Kila siku alikuwa anaamka mchana na kucheza pool table na wana pale makongo mwisho na kuwanunulia bia . Je hizo bia alikuwa anapewa bure ?
Hatari sana MkuuMtu mweusi na mafanikio ni kama ule msemo wa masikini akipata m***ko ulia pwataa
Labda hakuulizwa..Alipewa ama lah. Maisha ni yake.
Lakini mbona hakuungumza kipindi kile?
Si ndio maana hata baa na malaya woote huwa wanasogea karibu yaoHatari sana Mkuu
Hiyo tabia wanayo pia wachimbaji wa dhahabu, yaani mtu anaweza kupiga milioni 200 lakini asifanyie jambo lolote la maana
Zaidi ya kuona amepiga picha na hao celebrates wetu akina Niffer ama Iren 🙌