Mwisho Mwampamba: Vyombo vya habari viliniandika kwa uongo, hakuna pesa yoyote niliyoshinda kwahio sio kweli eti nilifirisika

Kuna kipindi fulani huyu Mwisho alifunguaga Stationary maeneo ya Sinza Kumekucha au Palestina sikumbuki vizuri maana ni miaka 20 au 19 iliyopita na Mimi nilikuwa bado Mwanafunzi
 
Ila Rey C kachakazwa na wengi, acha aishi mwisho mbaya
 
Hii ilisemwa wakati huohuo labda kama waandishi hawajui ngeli, kulikuwa hakuna zawadi ya mshindi wa pili na ukitaka kuamini hilo waulize hao waandishi ilikuwa ni kiasi gani zawadi ya mshindi wa pili, kila mwandishi atakuja na jibu lake.
Katika hao waandishi Kitenge alikuwepo?
 
Shule ulkua unasoma ujinga bas
Mmh, ni kama kuna kitu hukielewi vizuri.

Kusoma sana na au kufaulu sana darasani hakuna uhusiano na ''kujinyima bata''

Kujinyima bata ni matokeo ya emotional intelligence, kitu ambacho hakipo kwny mitaala ya elimu.

Umejua? Au umejua hujui?
Ukijua kwamba hujui, unajua ama hujui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…