Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
N mwisho ni mwampamba
Umaarufu una mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaarufu una mwisho
Miye nilipiga nae buku tuu pale 4rest basi mambo yake mengine wala sikuyajua mkuu.Hivi ile bar yake kule juu na mambo yake ya camping bado anafanya
Ova
Dunia ya leo kuna asiyejua kiingereza boss?Lkn kiingereza si bado anaweza kuongea!? Mi nadhani hiyo inatosha
Ila Rey C kachakazwa na wengi, acha aishi mwisho mbayaNdio miaka ile kipindi anaonekana sana Dar. Kuna siku nilimkuta yuko na Ray C na rafiki zao wanalewa kule South beach, Kigamboni. Nimerudi mitaa ya kati kabla sijakaa chini naona hao wamenifuata eti nimewaibia simu. Kuna mtu aliiba simu ya Ray C. Mi nafikiri huyu huyu Mwisho Ndio aliiba
Katika hao waandishi Kitenge alikuwepo?Hii ilisemwa wakati huohuo labda kama waandishi hawajui ngeli, kulikuwa hakuna zawadi ya mshindi wa pili na ukitaka kuamini hilo waulize hao waandishi ilikuwa ni kiasi gani zawadi ya mshindi wa pili, kila mwandishi atakuja na jibu lake.
Ila Rey C kachakazwa na wengi, acha aishi mwisho mbaya
Siyo mashindano yote mkuuinawezekana ni kweli, lakini hakuna chochote alichopata mashindano yote huwa yanamuangalia wa kwanza, wa pili na wa tatu, hata kama atatangazwa mmoja, lazima hao wengine waangaliwe, anavyosema alipewa tu ticket Kuna uhalisia?
Shule ulkua unasoma ujinga basIshu ya matumizi ya hela haiangalii kitabu. Mimi nina kitabu cha kutosha tu ila huwa ninazitumbua hakunaga mfano.
Aisee hata sijui lakini alikuwa yupo available sana paleYeye ndio alikuwa operator au ??🤣🤣
Mmh, ni kama kuna kitu hukielewi vizuri.Shule ulkua unasoma ujinga bas
Wengi wana kuwa wapo kwenye ujana 20s alafu paaaap 200mil hizi hapaHayo mashindano ni kama yana laana
Sijawahi kuona mshindi aliyepata pesa zile akatoboa zaidi ya anasa na kufilisika
Huwa namuona Idriss Sultan anaendesha Fortuner, au huwa ni ya kuazima?Hayo mashindano ni kama yana laana
Sijawahi kuona mshindi aliyepata pesa zile akatoboa zaidi ya anasa na kufilisika