Mwisho Mwampamba: Vyombo vya habari viliniandika kwa uongo, hakuna pesa yoyote niliyoshinda kwahio sio kweli eti nilifirisika

Hahaha miaka ya 2000 mkuu eti??

Ndio miaka ile kipindi anaonekana sana Dar. Kuna siku nilimkuta yuko na Ray C na rafiki zao wanalewa kule South beach, Kigamboni. Nimerudi mitaa ya kati kabla sijakaa chini naona hao wamenifuata eti nimewaibia simu. Kuna mtu aliiba simu ya Ray C. Mi nafikiri huyu huyu Mwisho Ndio aliiba
 
Sijui nilie sijui nicheke
807f090dd275a146d54aad1591e5777e.jpg
 
Hatari sana Mkuu

Hiyo tabia wanayo pia wachimbaji wa dhahabu, yaani mtu anaweza kupiga milioni 200 lakini asifanyie jambo lolote la maana

Zaidi ya kuona amepiga picha na hao celebrates wetu akina Niffer ama Iren 🙌
Hivi huwa madini yana ujinga gani maana ukiangalia process ya kuyapata ni ngumu na hatari mnoo lakini majamaa wakizipata huwa wanazitumbua kama hakuna kufa
 
Wala hakuna maajabu mkuu nitabia tu ya mwafrika alafu ukute hana kitabu , mhuni mhuni au ana kaushamba flani hivi

Ingawa sio wote
 
Ahaaa kwa hiyo wanachukulia ule ugumu kama ni sehemu ya maisha tu na hawafikirii njia za kujiondoa katika risks kubwa kubwa.. Fikiria mtu anapata M 100 lakini anachoma zote, hapo si ni sawa na kuchagua maisha ya chimbo
 
Ndio miaka ile kipindi anaonekana sana Dar. Kuna siku nilimkuta yuko na Ray C na rafiki zao wanalewa kule South beach, Kigamboni. Nimerudi mitaa ya kati kabla sijakaa chini naona hao wamenifuata eti nimewaibia simu. Kuna mtu aliiba simu ya Ray C. Mi nafikiri huyu huyu Mwisho Ndio aliiba
😂😂😂😂 JF!
 
Back
Top Bottom