Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hata ungeambiwa Ndugai atakuja kujiuzulu usingekubali. CCM mmepigwa upofu mzito ili yatimie.Nyie NYUMBU kila siku mnatabiri mwisho wa CCM TU tokea 1995 au ndiyo ile ya mkuu wa ukoo wa nyani kila siku anaahadi kesho atajenga kisa mvua inanyeshea wanaukoo? Ikikatika ni business as usual
Kwa sababu wanakupa kula eti?!Tanzania hakuna chama pinzani ni bora wabaki hao hao ccm
KATAZAME UNAJIMU WA MZEE YAHAYAA
Kwa Akili yako.Tanzania hakuna chama pinzani ni bora wabaki hao hao ccm
Matope!!! Kuna makundi kama kipindi cha jk? Kalale huko ukueYanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
Time will tell.
sio upinzan mkuuu bal kaone alitabir nn mbn hat mkuu alitabiliwaNchi itachukuliwa na upinzani mchana kweupe.
Ulitaka afanyaje sasa? Awaaache waendelee kumharibia njia yake? Siasa ni ulevi kama ulivyo ulevi mwingine once unapoingia hutaman kutoka! Hata angesema atumikie miaka hii mitano bado msingekosa la kusema?! Mama safisha njia kanyaga twende 2025 tuko na wewe !!Samia ameonesha tamaa kubwa sana na Urais wa 2025, ameshanogewa na ikulu, na yote anayofanya sasa ikiwemo kule kumchamba Ndugai alikuwa anajitengenezea njia yeye japo akatumia kivuli cha "najenga nchi" ili kuwadanganya wajinga.
Hata hiyo timu ya mawaziri aliyosena anataka aende nayo sio kwa ajili ya kujenga nchi, ni kuteua wanaomuogopa ili awe huru kuelekea 2025.
Simply anaogopa ushindani ndio maana anawatishia kuwatumbua wanaoonesha dalili za kuutaka urais wa 2025, au atawatumbua kabisa kusudi abaki peke yake kama mgombea akiwa amezungukwa na kundi la wanaomuunga mkono.
Hukijui vizuri weweKwa Akili yako.
Lakini kwa Akili yangu,Chadema ni chama bora kabisa hapa nchini.
Ccm sio chama tena ni dola tu ndio inakiweka hapo.