umenena maana hata chadema vipo viazi vitupuTanzania hakuna chama pinzani ni bora wabaki hao hao ccm
Soma alama za nyakatiTanzania hakuna chama pinzani ni bora wabaki hao hao ccm
wapinzani gani ccm iyo iyo utakufa utaiachaNchi itachukuliwa na upinzani mchana kweupe.
Utaratibu wa CCM ni kuwa raisi atatoka bara alafu Makamu atatoka ZanzibarUlitaka afanyaje sasa? Awaaache waendelee kumharibia njia yake? Siasa ni ulevi kama ulivyo ulevi mwingine once unapoingia hutaman kutoka! Hata angesema atumikie miaka hii mitano bado msingekosa la kusema?! Mama safisha njia kanyaga twende 2025 tuko na wewe !!
Tamaa mbele mauti nyuma! Kama alishindwa Bosi wake, hata yeye atashindwa tu. Siku zote muda ni rafiki mzuri sana.Samia ameonesha tamaa kubwa sana na Urais wa 2025, ameshanogewa na ikulu, na yote anayofanya sasa ikiwemo kule "kumsuta" Ndugai alikuwa anajitengenezea njia yeye japo akatumia kivuli cha "najenga nchi" ili kuwadanganya wajinga.
Hata hiyo timu ya mawaziri aliyosena anataka aende nayo sio kwa ajili ya kujenga nchi kama anavyodai, ni kuteua wanaomuogopa ili awe huru kuelekea 2025.
Kwa level ya kiwango cha tamaa alichoonesha ikiwemo kuanza kuwapanga wanawake wenzake, huku akiwafunga midomo wapinzani wake kwa njia mbalimbali ikiwemo "kuwachamba" ikulu, sitegemei aachie hiyo nafasi kirahisi.
Simply anajijua ni dhaifu na anayeogopa ushindani asie na mbinu zozote kisiasa, ndio maana anatishia kuwatumbua anaowahisi kuutaka urais wa 2025, au atawatumbua kabisa, kusudi abaki peke yake kama mgombea pekee akiwa amezungukwa na kundi la wanaomuunga mkono, huyu nae ni dikteta tu.
Siku hizi watu wanajitaftia rizki hawajali mapato wala matumizi,wakope,wasikope shauri yao,na kwa kifupi tayari watu wamejianda kujitegemea,angalia uchaguzi watu hawajitokezi wanapambana na hali zao za kipatoKwa sababu wanakupa kula eti?!
Watanzania tulivyo ji-tune hata asipokuwepo kiongozi yeyote ngazi za juu tuta-survive shida ni kwenu nyie mliochomekwa chomekwa kwenye vitengo na baba zenu makada kuona bila hili dubwana CCM hakuna maisha.
😡Nyie NYUMBU kila siku mnatabiri mwisho wa CCM TU tokea 1995 au ndiyo ile ya mkuu wa ukoo wa nyani kila siku anaahadi kesho atajenga kisa mvua inanyeshea wanaukoo? Ikikatika ni business as usual
Muda utaongea......ngoja tuendelee kula mtori nyama ziko chiniYanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Tangu utulishe matango pori ya MIGA, ni vigumu sana siku hizi kukuamini.Yanayoendelea...
Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Umefilisika.Tangu utulishe matango pori ya MIGA, ni vigumu sana siku hizi kukuamini.
===
Habari za jioni mleta mada.
Ha ha ha haaaa!Umefilisika.
Mtafute tena akiwa anafafanua alichomaanisha utasikitika sana.Soma alama za nyakatiView attachment 2071038
Mmeo yuko chama ganiTanzania hakuna chama pinzani ni bora wabaki hao hao ccm
Kazi IPO !!!Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.