UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Hatakuwa mgombea pamoja na kujisafishia njia kwa kuwakanyaga vichwani wenzie?
Mtu ameomba msamaha unamtoa kwa nguvu(tena speaker)..Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Agano lao la MWENGESheikh yahya alitabiri nafikiri miaka ya 1999.kuwa atatokea rais mcheshi, asie na mashara atatawala ila jatomaliza mda wake ndipo nchi iyatawaliwa na mwanamke atakayetokea majini. Na baada ya utaeala wake, nchi iyatawaliwa na eapinzani
Raisi aliyeandaliwa alikuwa Sokoine usipotoshe.Wacha nikukumbushe! Utamaduni wa urais hapo awali ilikua rais akitoka bara awam hii awam ijayo anatoka zanzibar! Na ndivyo mwinyi alivyopatikana pia! Utaratibu ule taratibu ukafa sasa imebak akiwa mkristo tena mroma safar ijayo anakua anakua muislam tena bakwata!
wakina kingai watakuwa wapi mpaka mchukue nchi?Nchi itachukuliwa na upinzani mchana kweupe.
Wacha kupiga mayowe [emoji444][emoji442][emoji442][emoji445]wacha wayaone wenyewe[emoji445][emoji442][emoji312][emoji313][emoji442]wacha kupiga mayowe[emoji312][emoji445][emoji444][emoji442]wacha wayaone wenyewe X 2Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Hakuna cha utabiri wala nini... Samia yupo pale mpaka 2030.Kama Samia ,hatoonyesha tamaa ya kuendelea kubaki ikulu basi, ccm watendelea 2025 lkn hatokuwa yy,Ila Kama atawapiga Vita Wana ccm wenzie ambao wanaonekana kuwa na ushawishi wa kukubalika na wananchi,na akawazma mazma,Basi. nchi watachukua upinzani mapema kweupe ,na hapo utabiri wa mzee yahaya utakuwa umetimia mapema kweupe!!!, Na kwa dalili hz za Samia Utabiri wa yahya unaenda kutimia
Poor, grainy and abysmal analysis.Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.