chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,824
- 3,846
Kama Samia ,hatoonyesha tamaa ya kuendelea kubaki ikulu basi, ccm watendelea 2025 lkn hatokuwa yy,Ila Kama atawapiga Vita Wana ccm wenzie ambao wanaonekana kuwa na ushawishi wa kukubalika na wananchi,na akawazma mazma,Basi. nchi watachukua upinzani mapema kweupe ,na hapo utabiri wa mzee yahaya utakuwa umetimia mapema kweupe!!!, Na kwa dalili hz za Samia Utabiri wa yahya unaenda kutimiaHatuna upinzani wa kuitoa CCM, Samia yupo Ikulu mpaka 2030.
Utabiri wa hayati mwalimu Nyerere Unakaribia ?? !umenena maana hata chadema vipo viazi vitupu
Maoni mavii???!! Kwa nini hakuyatoa wakati wa mwendasake?!! Au anajifanya hakuona pesa zinakopwa, tena kisirisiri kwenda kujenga liuwanja la eropleny vichakani???!!!!Wakuifikisha hiyo ccm mwisho ni nani? Hawa hawa wanaoshangilia Hangaya kumchamba spika baada ya kutoa maoni yake kuhusu mikopo?
Nchi itachukuliwa na upinzani mchana kweupe.
Ni vizuri Sana kujifariji mkuu,mama akishasafisha wataibuka kwa Kasi na Kwa umoja kabisa.Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Mimi c mwana CCM lkn 2026Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Utaambiwa sukuma gangSamia ameonesha tamaa kubwa sana na Urais wa 2025, ameshanogewa na ikulu, na yote anayofanya sasa ikiwemo kule "kumsuta" Ndugai alikuwa anajitengenezea njia yeye japo akatumia kivuli cha "najenga nchi" ili kuwadanganya wajinga.
Hata hiyo timu ya mawaziri aliyosena anataka aende nayo sio kwa ajili ya kujenga nchi kama anavyodai, ni kuteua wanaomuogopa ili awe huru kuelekea 2025.
Kwa level ya kiwango cha tamaa alichoonesha ikiwemo kuanza kuwapanga wanawake wenzake, huku akiwafunga midomo wapinzani wake kwa njia mbalimbali ikiwemo "kuwachamba" ikulu, sitegemei aachie hiyo nafasi kirahisi.
Simply anajijua ni dhaifu na anayeogopa ushindani asie na mbinu zozote kisiasa, ndio maana anatishia kuwatumbua anaowahisi kuutaka urais wa 2025, au atawatumbua kabisa, kusudi abaki peke yake kama mgombea pekee akiwa amezungukwa na kundi la wanaomuunga mkono, huyu nae ni dikteta tu.
Weka linksio upinzan mkuuu bal kaone alitabir nn mbn hat mkuu alitabiliwa
Naomba linkSheikh yahya alitabiri nafikiri miaka ya 1999.kuwa atatokea rais mcheshi, asie na mashara atatawala ila jatomaliza mda wake ndipo nchi iyatawaliwa na mwanamke atakayetokea majini. Na baada ya utaeala wake, nchi iyatawaliwa na eapinzani
Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025 katika harakati za kutuliza mivitano ndani ya chama chake ili kuokoa chama ingawa haitosaidia.
Yote haya ni matokeo ya uovu wa miak nenda miaka rudi na sasa Mungu kasema basi imetosha.
Tutaendelea kuona watu wakijiuzulu na wengine kulazimishwa kujiuzulu kuanzia sasa na kuendelea.
Ndugai kaafungua tu pazia la league ya watu kujiuzulu.
NB: Mama akibahatika kupenya, basi CCM itakwenda kufanya vibaya sana katika uchaguzi wa 2025 kuliko wakati wowote ule.
Time will tell.
Hakuna Mwanaccm anayekubalika zaidi ya Samia na hakuna Upinzani wa kuchukua hii nchi as of now.Kama Samia ,hatoonyesha tamaa ya kuendelea kubaki ikulu basi, ccm watendelea 2025 lkn hatokuwa yy,Ila Kama atawapiga Vita Wana ccm wenzie ambao wanaonekana kuwa na ushawishi wa kukubalika na wananchi,na akawazma mazma,Basi. nchi watachukua upinzani mapema kweupe ,na hapo utabiri wa mzee yahaya utakuwa umetimia mapema kweupe!!!, Na kwa dalili hz za Samia Utabiri wa yahya unaenda kutimia
Wacha nikukumbushe! Utamaduni wa urais hapo awali ilikua rais akitoka bara awam hii awam ijayo anatoka zanzibar! Na ndivyo mwinyi alivyopatikana pia! Utaratibu ule taratibu ukafa sasa imebak akiwa mkristo tena mroma safar ijayo anakua anakua muislam tena bakwata!Utaratibu wa CCM ni kuwa raisi atatoka bara alafu Makamu atatoka Zanzibar
Huu ndio utaratibu wa CCM, na unaheshimiwa sana