Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

Hatakuwa mgombea pamoja na kujisafishia njia kwa kuwakanyaga vichwani wenzie?
 
Mtu ameomba msamaha unamtoa kwa nguvu(tena speaker)..
Sijui yangemkuta ya January, Nape na Kinana.
 
Sheikh yahya alitabiri nafikiri miaka ya 1999.kuwa atatokea rais mcheshi, asie na mashara atatawala ila jatomaliza mda wake ndipo nchi iyatawaliwa na mwanamke atakayetokea majini. Na baada ya utaeala wake, nchi iyatawaliwa na eapinzani
Agano lao la MWENGE
 
Raisi aliyeandaliwa alikuwa Sokoine usipotoshe.
 
Wacha kupiga mayowe [emoji444][emoji442][emoji442][emoji445]wacha wayaone wenyewe[emoji445][emoji442][emoji312][emoji313][emoji442]wacha kupiga mayowe[emoji312][emoji445][emoji444][emoji442]wacha wayaone wenyewe X 2
 
Hakuna cha utabiri wala nini... Samia yupo pale mpaka 2030.
 
Ukweli ni umoja party kitatwaa madaraka 2025 kikiwa na wanaccm watakaohamia ndani ya chama hicho!!na Mbowe atakuwa Waziri mkuu kutokea Chadema!! itakuwa serekali ya mseto kama kule Kongo kwa joseph kabila !!!!na mimi huenda nikawa moja ya Waziri ndani ya serekali hiyo!!!
 
Mpaka sasa CCCM imeisha gawanyika pande Tatu..
Ipo halisi ya wazee wenzangu:
Ipo ile hakuna na kama yeye:
Ipo hii liwaro na liwe maji ufata mkondo:

Na sisi wa mtuachie salama wa usalimini Tanzania yetu ya Babu na bibi zetu..
 
Poor, grainy and abysmal analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…