Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

mzazi alikimbia majukumu yake so leo baada ya mafanikio ndio anaona umuhimu wa mtoto....guys take you're responsibility for taking care your family...
Jamie Fox American actor alimkana dingi yake kisa alimuuza but jirani yake akagoma asiuzwe na ndiye aliyewajibika kum care then now ana mafanikio dingi anajitokeza...jamaa kamkana hadharani.
 
Mambo ya kifamilia hatuyajui.
Anajua MAMA YAKE na BABA yake.

Hapa mtapika habari tu.
 

Unajua baba yake aliuza nyumba kkoo na kununua nyumba mbovu manzese na magari mabovu? Bibi yake mzaa baba ndio kaleta yote hawataki kina diamond watoto haramu.
 
Nadhani ni mda wa Diamond kujitathimini alianza kuvuruga Ujerumani akavuruga tena UK sasa hadi nyumbani????
 
Wapiga ramli mlianza kutabiri mwisho wa Diamond mara baada ya tuzo za MTV kule South Africa... Hata hivyo, bado kijana anadunda! Mkaja kutabiri baada ya tuzo za BET... yaani siku zote mnamuombea mtu aporomoke... watu mna roho mbaya utafikiri mmezaliwa mkiwa na damu za kichawii! Nimepata kuuliza watu kadhaa humu jamvini kwamba wao binafsi au familia zao wamefanywa nini na Diamond, hamna majibu hali inayoonesha mmejawa na chuki tu tena zile tunazoita za jinsia ya pili!
 
Wakati Diamond amepewa za mbavu na babake, ulienda kumshauri babake asimtupe mwanae?
 
Nyumbani amevuruga nini wakati wenye akili timamu wanafahamu wazi kwamba kuna vilaza waliojawa husuda walijipanga kutaka kumuharibia?

Wewe mwerevu umefanya nini?acheni kuleta blah blah zenu hapa kubalini tu ndomo wenu kakalishwa basi...
 
Wewe mwerevu umefanya nini?acheni kuleta blah blah zenu hapa kubalini tu ndomo wenu kakalishwa basi...
Mosi, nianze na wewe kwanza ili nithibitishe kwamba husumbuliwi na husuda. Mara nyingi naona post zako zinazoashiria chuki yako dhidi ya Diamond. Now tell me, Diamond amekufanya nini wewe BINAFSI au familia yako? Pili, tuje kwenye show ya jana... Hivi ilikuwaje Kiba anaanza kushangiliwa kabla hajaonesha hajafanya chochote? Wale watu walishangilia kutokana na uwezo au ushabiki tu? Tatu, hivi nini KIba alifanya pale jukwaani cha kuhitaji kushangiliwa? Nne, wale waliokuwa wamejipanga kumzomea Diamond... walifanya hivyo kv Diamond hajui au walipanga tu kufanya hivyo vinginevyo haingii akilini mtu unaanza kuzomea kabla mtu hajapanda jukwaani!
 
Muanzisha mada wivu wa kike huo..kumuwazia mwenzio atashuka lini.mambo ya familia ya diamond yanakusumbua vp..
 

Hahahaaaaa,ahsante sana kwa kunifuatilia...you are my fan,huh????
Sikiliza wewe,wakati huyo ndomo anahustle kutoka enzi hizo anauza mitumba maskani yake yalikua magomeni na moja kati ya watu waliomsaidia ni mtu wangu wa karibu sana kafanikiwa sasa wala hamkumbuki tena,akipita na gari kioo tinted wala hashushi...
Alafu sio lazima nimpende huyo ndomo wako,namkubali sana Kiba coz hajawahi kuni let down hata siku 1...Napenda muziki wake pia lifestyle yake,upo????
 
jiulize kama diamond angekuw chokambaya mpakasasa hyu dngi ajipndekeza kwa diamond? kama alipanda empty acha avune empty
 
Wewe acha hizo wewe!! We unajuaje..je kama maisha ya sahivi ya baba ake ndo laana ya kumtelekeza dogo?!
Acha watu wavune walichokipanda.
Fanya yako tu.
 
Hahaaaaaaa kubakwa tena???

jana kwenye Fiesta wakati kapanda jukwaani alikua anazomewa na mamluki huku watu wakitaja Ali Kiba...

Ali Kiba yeye alivyopanda alikua anashangiliwa mwanzo mwisho... ko kilichompata jana ni hizo Booooooo za wananchi

Usishangae coz kubakwa stejini kwa uyo sio ngumu sana au umesahau alivyovua nguo kwa stage na kuonyesha makalio?
 

hongera sana kwa ujasiri na upendo kwa wazazi wako. kwa kweli ni muhimu kumwachia Mwenyezi Mungu atoe hukumu. kama mzazi alikutelekeza sidhani ni vyema kulipa kisasi. mara nyingi wazazi hujutia waliyoyafanya hata kama hataomba msamaha kwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…