Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

hongera sana kwa ujasiri na upendo kwa wazazi wako. kwa kweli ni muhimu kumwachia Mwenyezi Mungu atoe hukumu. kama mzazi alikutelekeza sidhani ni vyema kulipa kisasi. mara nyingi wazazi hujutia waliyoyafanya hata kama hataomba msamaha kwa mtoto.

Kweli kabisa,ama hakika mkubwa hakosei...
 
muanzisha mada kumpenda kiba kuliko diamond haimaanishi umchukie diamond..nikuonavyo wewe unaCHUKI na DONGE kwa diamond
 

duh hii kali.. aende itv tena kuomba msamaa
 
Nakufuatilia coz' nahisi utakua mrembo nami ni mgonjwa wa warembo! Hata hivyo, kumbe maskini ya mungu Diamond hajakufanya lolote wewe binafsi... sasa haya maisha ingekuwa kv fulani best yako anafanyiwa nongwa na mwingine basi nawe unaamua kununua kesi..... aaaaaargh, we mtoto wewe!!! Lakini maswali yangu mengine yooooote naona umeyakwepa!
 
Hahaaaaaaa kubakwa tena???

jana kwenye Fiesta wakati kapanda jukwaani alikua anazomewa na mamluki huku watu wakitaja Ali Kiba...

Ali Kiba yeye alivyopanda alikua anashangiliwa mwanzo mwisho... ko kilichompata jana ni hizo Booooooo za wananchi

Hahahaa haaaa
Maskini weee
Wiki hii magazeti ya udaku yatauza balaa.....
 
Dah watu wanaongea tu ila hawajui ni namna gani mtu anaumia anapojua alikataliwa na mzazi wake..mimi mwenyew nimepata tatizo kama hilo nimelelewa na babaangu mpaka nimekua na akili zangu timamu mpaka leo hii .na wala hakuoa wala kutafuta mwanamke kuhofia mwanae nisije pata mateso..wakati huo bi maza anakula bata..sasa unamjalije ambae hajawahi kukujali ..na unakuta alikukataa kwa tamaa za maisha ya ujana na hata uzeeni pia akajifanya yuko busy wala hakutaka kujua shida na matatizo uliyopitia..mwacheni afanye anachojisikia mungu ndo anajua hukumu ya kila mmoja aliemkataa mwanae na ambae hakumjali mzazi
 
Reactions: Sal
Kutotoa chozi kwa Obama haihalalishi kuwa wote tusitoe machozi pindi tupatapo tatizo linalofanana.

Nyerere alisema jambo la kipumbavu likiongelewa kwa lugha ya kiingereza watu ulishangilia.

Asante
Halafu ukiwa hujapita.play tym unakuwa vzr. ..teh teh teh.
 

Nimekupenda bure!
Tell them
.....halafu wanafikiri eti kuna baraka hata km mzazi ndo mwenye kosa bado haibadirishi kuwa ni mzazi na baraka zake zipo palepale
 
Watu mnabisha tu hapa!....ukweli utabaki palepale. ...mi huwa sifuatilii san hizo bongo fleva....naongea tu hali halisi
Wengi tu wamepitia maisha ya aina hyo!
Hyo dai whether amefanikiwa au la
Whether kawa superstar o not anachotakiw yy ni kumuomba Mungu aweze kumsamehe huyo baba ake! Coz kusamehe sio rahisi kila unapokumbuka machungu!
Coz blv mi o nt utachuma/uta-hustle hizo mali ht kwa miaka 20 siku 1 tu isiyo na jina utapoteza vyote halafu utaanza kutafuta mchawi...mzazi ni mzazi ht km kakosea yy amsamehe tu inatosha
 
Utofauti wa dume la panya au ng'ombe na mwanaume ni kulea watoto alioshiriki kuwaleta duniani.
Kama kubebesha mimba hata panya anafanya the same thing.
Kama hakumjali mwanae kipindi hicho kwanini alalamike kuwa mwanae hamjali hivi sasa.
 

Diamond aliwahi kusema baba yake alikuwa ni kati ya ma millionea wa miaka hiyo, alikuwa na pesa chafu
 
Nyumbani amevuruga nini wakati wenye akili timamu wanafahamu wazi kwamba kuna vilaza waliojawa husuda walijipanga kutaka kumuharibia?

Siamini umati wote ule walikuwa vilaza ila kama Diamond anataka asonge mbele kiroho safi ajitathimini kuna mahali ameteleza mwisho wa siku Mashabiki tujiepushe na ushabiki usiokuwa na maana kuna wasaani wanakuwa hawana hata beef ila mashabiki tu wanaamua kuwatengenezea wasanii wao beef
 

Rekebisha life yako kwanza ndio uanze shobo kwa wanaume!!
 

Mmmm yawezekana ngoja tusubiri
 

Amefanikiwa kitu gani!!!!!!??? Labda mademu
 
diamond ni mpuunzi kwenye mambo mengi ila hilo la kumtosa baba sawa kabisa
hii itakuwa funzo kwa midume mingine inayotelekeza watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…