Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

dawa ya moto ni moto na wanaume woote wajifunze katika hili
michael ESSEN wa chelsea, mario balotel nawapongeza sana kwa kuwatelekeza baba zao waliowatelekeza utotoni
 
Sijaona kosa la Diamond, ninachoona ni hoja zisizo na msingi kutoka kwa watu ili mradi tu ionekane Diamond ndo tatizo! Mathalani wanasema ameharibu Ujeruman na UK... kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba kilichotokea German na UK ni Diamond kugoma kupanda jukwaani kabla hajalipwa pesa yake... sasa wale wanaosema aliharibu labda kama walitaka apande jukwaani kabla haja!! By the way, kama watu wana hoja za msingi, kuharibu kaharibu Diamond sasa inakuaje mtu mwingine aliyeko Mabibo achukie kuharibu kwa Diamond alikofanya uhabuni??? Na jinsi watu wanavyoonesha chuki za wazi, kuna uwezekano mkubwa maneno mengine wanamlisha mathalani lile la hotel za Mbeya! Diamond amepita karibu mikoa yote hapa TZ na wala sio zamani bali miezi ya karibuni tu... mbona kote huko hatujasikia akisema hakuna hotel zenye hadhi yake??

Hapa kubwa ni moja tu... Watanzania tumejawa na roho ya kwanini! Mtu anaweza kukuchukia bila sababu kwavile tu una mafanikio...
 
Mi hua nashangaa baba hakumjali alimtelekeza,lakini mwisho wa siku mnaona Diamond mbaya ubaya wa baba yake hamuuoni eti,baraka za mama yake zinamtosha kufika hapo alipo,,mnajuaje anavyojisikiaaa ye Diamond kuhusu baba yake kwenye maisha misukosuko lazima iwepo kupanda na kushuka ili akili ikukae vyema ,Daimond kuzomewa hivyo tu ndio mseme kaishaaa loo bado ana nafasiii mbonaaa ,Anachonifurahishaga Diamond hata asemwe vipiiii hua anaangalia mbele na ndio mnamsukuma ili afanye vitu vizuri zaidiiii,,GOOO Diamond
 
Kumbe Bakhressa anachukiwa sana? Nilikuwa sijui hili.
 
Ur too smarter than ur ID
 
acha kutisha watu na ndoto zako ali kiba ni msanii wa fiesta na hamtomsikia tena sababu fiesta imeisha jana kwani alivuma before fiesta!?????? Diamond is all timer

Hiz team alikiba zipo desparate sana na kaka mond asee,mungu awasamehe tu maana hapo ndipo ukomo wa mawazo yao ulipofikia, kwanza kuingilia tu mambo ya kifamilia ni umbea unaopaswa kusutwa kwa matarumbeta kabsaa
 
Kumbe alisaidiwa na mtu wako wa karbu n not you????????????
 
Hiz team alikiba zipo desparate sana na kaka mond asee,mungu awasamehe tu maana hapo ndipo ukomo wa mawazo yao ulipofikia, kwanza kuingilia tu mambo ya kifamilia ni umbea unaopaswa kusutwa kwa matarumbeta kabsaa

Mshamba tu wewe.
 
kazi ipo duh.....tunaombeana njaaa wenyewe kwa wenyewe
 
Hiz team alikiba zipo desparate sana na kaka mond asee,mungu awasamehe tu maana hapo ndipo ukomo wa mawazo yao ulipofikia, kwanza kuingilia tu mambo ya kifamilia ni umbea unaopaswa kusutwa kwa matarumbeta kabsaa

Bosi wenu ndo kapanic sana tu usisingizie team Kiba watu walimchunia fiesta wamsingizia team Kiba mwambie akubali ushauri eti aonewa wivu akina juma nature walivotisha enzi hizo endelea kuugulia maumivu
 
hiz team alikiba zipo desparate sana na kaka mond asee,mungu awasamehe tu maana hapo ndipo ukomo wa mawazo yao ulipofikia, kwanza kuingilia tu mambo ya kifamilia ni umbea unaopaswa kusutwa kwa matarumbeta kabsaa

nyie ndo mko desperate since saturday night mnatoa thread za usia
kibaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Bosi wenu ndo kapanic sana tu usisingizie team Kiba watu walimchunia fiesta wamsingizia team Kiba mwambie akubali ushauri eti aonewa wivu akina juma nature walivotisha enzi hizo endelea kuugulia maumivu

batombokerr batombokeeeeeeeeee
 
Hiz team alikiba zipo desparate sana na kaka mond asee,mungu awasamehe tu maana hapo ndipo ukomo wa mawazo yao ulipofikia, kwanza kuingilia tu mambo ya kifamilia ni umbea unaopaswa kusutwa kwa matarumbeta kabsaa

Ndio akili ya team ndomo.Maskini mnawaza mambo ya kiswahili eti kumsuta mtu kweli?Ndio maana anavurunda kwa staili hii hapo ndio ukute wewe ni mshauri wake.Maskini weee hadi namuonea huruma
 
Viatu usivovivaa, hujui ubanaji wake. Fanya yako, hujui nini kimetokea ndani ta familia yao. Mimi pia mzee angefanya kama alivyofanya mzee wake basi tusingesalimiana hadi kifo.
 
Viatu usivovivaa, hujui ubanaji wake. Fanya yako, hujui nini kimetokea ndani ta familia yao. Mimi pia mzee angefanya kama alivyofanya mzee wake basi tusingesalimiana hadi kifo.

Kulipiza kisasi ni mbaya.......kuna duka la salam duniani??
 
Ni kweli kabisa yaani watu wanajudge kaanguka kwa lipi?kisa kuzomewa kwa usiku mmoja i believe in Diamond majungu kwake yanamboost azidi kuleta mambo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…