Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria, Kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena Serikali iwahi harakaKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la kariakoo kwa kuruhusu gulio la wachina kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka...
Ukiona hivyo basi jua kuna kigogo ananeemekaKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la kariakoo kwa kuruhusu gulio la wachina kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka...
Acha uoga utaenda hapo kununua bidhaa na kuziuza dukani kwako Kariakoo au ukubali kushusha bei.Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka...
Lile soko lililotakiwa kujengwa pale Ubungo kituo cha zamani cha mabasi limefika wapi?
Uko sahihi wachina waje washushe bei sisi walaji tunawahitaji sanaTuache mihemko,, Dunia kote kwenye inchi zilizoendelea magulio yapo kila kitongoji.
Tusikariri maisha kwamba lazima watu wote wajazane kkoo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wafanyabishara wengi wa Tanzania ni wezi tena wezi sana wacha wapigweImepitishwa lini?
Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ilipinga hili
Ni vema iwe hivyo ili kiwake zaidi moto uwe mkali wamesema wana agano na Mungu hawatatokaKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka...
Kabisa mkuu,Uko sahihi wachina waje washushe bei sisi walaji tunawahitaji sana
USSR
Wanaiba Nini?Wafanyabishara wengi wa Tanzania ni wezi tena wezi sana wacha wapigwe
USSR
Wanaibia wanunuzi na Serikali kwa ujumla kwa tamaa ya faida kubwa isiyoendana na huduma (bidhaa). Mfano kiatu anauza 50,000 apate faida ya 15,000 nje ya kodi. Kiatu hichohicho nikiagiza China kinagharimu 30,000 kila kitu hadi nakivaa.Wanaiba Nini?
Nadhani hujawahi kuwa mfanyabiashara. Maelezo yako hapo yanatosha kujua kuwa pengine hujawahi kuuza hata pipi.Wanaibia wanunuzi na serikali kwa ujumla kwa tamaa ya faida kubwa isiyoendana na huduma (bidhaa). Mfano kiatu anauza 50,000 apate faida ya 15,000 nje ya kodi. Kiatu hichohicho nikiagiza china kinagharimu 30,000 kila kitu hadi nakivaa