Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Nadhani Kurasini kutakuwa na mfumo ambao upo based zaidi katika wholesale, na TRA, watakuwa sambamba sioni shida, itasaidia kukusanya mapato vizuri zaidi katika mlango mmoja, kariakoo ujanja ujanja mwingi mno, masoko ya namna hii huwa na GATE moja kubwa ambapo nyote ni lazima mpite hapo! Na kukaguliwa.

HONGERA HONGERA.
Hoja ya Kariakoo kufa haipo, Mbona kiatu karume ni 3000/- kwa Jumla na ukikiosha vizuri unakiuza mtaa wa pili kwa 10000 /-
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakua na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Usikute hii hasara ya nchi ni katika lile dili la kumuokoa Ridhiwani asinyongwe China pale alipokamatwa na makontena ya madawa ya kulevya. Sitoshangai kama Kikwete alihusika hapa, Ridhiwani kalitia hili taifa hasara sana eti leo kawa naibu waziri?
 
Wamepitisha lini wakati Serikali ilisema imeachana na huo mpango wa Kurasini ili kuondoa msongamano?
 
Ndiyo hatari ya mikopo hiyo. Mikopo inakuelemea hadi unaanza kukubali vitu visivyo na faida kwako. Mwigulu anapiga kelele kuwa wawekezaji wanakuja kuleta ajira, ukweli ni kuwa wanakuja kupora ajira.

Bahati mbaya Serikali ina njaa sana ya pesa yoyote ili iservice madeni. Kama hadi biashara za rejareja nchini mwako zikianza kushikwa na wageni jua kuwa umekwisha. Tuendako ni kubaya sana.
 
Nadhani kurasini kutakuwa na mfumo wa ambao upo based zaidi katika wholesale, na TRA, watakuwa sambamba sioni shida, itasaidia kukusanya mapato vizuri zaidi katika mlango mmoja, kariakoo ujanja ujanja mwingi mno, masoko ya namna hii huwa na GATE moja kubwa ambapo nyote ni lazima mpite hapo! Na kukaguliwa.

HONGERA HONGERA.
Hoja ya kariakoo kufa haipo, Mbona kiatu karume ni 3000/- kwa Jumla na ukikiosha vizuri unakiuza mtaa wa pili kwa 10000 /-
Inaweza kuwa ni mawazo mazuri! Ila waliopitisha Wana waza sawa na wewe? Labda wawe wanapita hapa na kuchukulia maelezo Yako kuwa ni hoja Yao.
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakua na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Si mnataka vitu vishushwe bei au?
 
Sijajua kwanini watanganyika tunaogopa sana ugeni. Wachina wakija na bidhaa zikawa bei nafuu wateja hawatakuja kutoka mikoani tu, hata nchi jirani wanaweza kuja kwa wingi. Mikoani pia biashara zitachangamka.

Cha msingi soko liwe na ukuta, kuingia bure ukitoka na mzigo clearance ifanyike serikali ipate. Huduma ziwe ni kwa jumla, serikali ya soko iwe na database ya maduka yote humo ndani na bidhaa inazouza.
 
Sijajua kwann watanganyika tunaogopa sana ugeni. Wachina wakija na bidhaa zikawa bei nafuu ugeni hautakuwa kutoka mikoani tu, hata nchi jirani wanaweza kuja kwa wingi. Mikoani pia biashara zitachangamka.

Cha msingi soko liwe na ukuta, kuingia bure ukitoka na mzigo clearance ifanyike serikali ipate. Huduma ziwe ni kwa jumla, serikali ya soko iwe na database ya maduka yote humo ndani na bidhaa inazouza.
Wachina unawajua au wawasikia?
Wale wanatakiwa waje Tanzania kujenga viwanda na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom