Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hapa sio china mzee.Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka
USSR
Jukumu la Serikali ya Tanzania ni kuwalinda Raia wake kwa wivu mkubwa na sio kuwatengenezea Raia wa kigeni mazingira ya kunufaika.
Unachofanya wewe ni sawa na kumshangilia baba yako akimpeleka shule nzuri mtoto wa jirani na wewe akikupeleka shule ya kata.