Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Sisi wananchi wa kawaida tunachojali ni unafuu wa maisha, sio anaeuza ana rangi gani?
 
Tunapenda uchuuzi mno,hivyo lazima tuletewe Kila takataka kutoka china.Kariakoo kufa au kutokufa ni hoja Pana kwa kuwa inategemea na vipi tutawabana hao wachina kutokompiti na sisi wachuuzi wa ndani.Sera yetu ya import kama haitakuwa na uthibiti hayo magulio yataua viwanda vyote.Hata maji ya kunywa tutaletwa.Watashindwa tu bidhaa za bharesa maana Bharesa Naye sungura sana kwenye biashara.
 
Safi sana kama China imehamia kwetu maana na hela za kigeni zitaongezeka

Tena wapewe ekari 10,000 kabisa wajenge mji wao kabisa liwe soko kubwa Africa, na wanunuzi waje tu

Ni akili kubwa kwa wenye uelewa
 
Ni kweli, vitu vitashuka bei kiasi. Advantage kwa mlaji
Na pia serekali itakusanya mabilion ya shs, imagine suruali moja ambayo huuzwa 10,000, itakapokuwa inauzwa 5000/-na serekali kukusanya Kodi 3000/-,unadhani serekali itakusanya kiasi gani?
 
Wewe jamaa hauko serious , Hela za kigeni zinaongezeka wakati mchina na mhindi wao ni kuchuma na kupeleka pesa kwao ? ,Kuna uwekezaji gani wa maana mchina na mhindi wanafanya humu kama sio unyonyaji na kuvuna pesa kupeleka kwao ili kulipia riba za mikopo wanayokopeshwa na serikali za nchi zao ? ,
Huu mfumo wa uchumi wa kitanzania ni wa kipumbavu sana , watu wengi hii nchi hawaoni mbali , huyo mchina ataua hilo soko la kariakoo na likifa jiulize ni ajira ngapi zitapotea hapo? , mnajua hata ripple effects zake zitakazokuwepo kijamii na kiuchumi kwa mzawa kwa hizo ajira za wachuuzi na wafanyabiashara wengine wakubwa hapo kariakoo kupotea ? , ,huyo mpuuzi mwigulu nchemba angerudi huko Singida kuchunga ng'ombe ,akili hana .
Workdone zero Mzawa anaendelea kuwa fukara ,mgeni ananeemeka na kuvuna mapato kupeleka kwao , upumbavu mtupu
Safi sana kama China imehamia kwetu maana na hela za kigeni zitaongezeka

Tena wapewe ekari 10,000 kabisa wajenge mji wao kabisa liwe soko kubwa Africa, na wanunuzi waje tu

Ni akili kubwa kwa wenye uelewa
 
Hawa wapuuz huko serikalini huwa hivyo vichwa vimejaa usaha ,
Dunia hii ya leo kila nchi ina linda maslahi ya kiuchumi kwa mzawa kwanza ,nchi hii ya wapumbavu wapuuz wanakuja wanauza vyombo kama mamachinga ,wanafanya biashara ambazo zilitakiwa kuwa reserved Kwa wazawa ukizingatia uchumi ulivyo mdogo na wafanyabishara wazawa ni wadogo na wasio na mitaji mikubwa ,una create unequal playing field ,unaua prospect za wafanyabiashara wadogo wa ndani kukua kibiashara na kutengeneza mafukara ambao at the end of the day ni burden Kwa nchi .

Mtu mweusi hana akili ,watu wanaokuja kuwekeza humu Tanzania waje kama investors in real tangible assets kama viwanda ambazo zina create ajira na fursa kwa wazawa moja kwa moja na si hizo za kushindana kuipmort fake ass Chinese products ambazo kwanza zinaua maendeleo ya viwanda vya ndani na pia zina create harmful competition Kwa wafanyabiashara wazawa wa ndani .
Kama wanataka kupanua wigo wa soko na kuifanya Dar kuwa soko kubwa la bidhaa kwa nchi za Afrika mashariki na kati ,hilo lingeweza kufanyika kirahisi tu kwa serikali kutoa mikopo au kupunguza kodi kwa wafanyabishara wazawa hasa ambao wamekuwa kwenye biashara hizo kwa muda mrefu ili waweze kutanua biashara zao na kuwavutia wanunuzi toka nchi jirani kuja zaidi na hivyo kuvuna zaidi kwa kodi kutokana na wanunuzi kuongezeka hapa na hata biashara ndogo ndogo za ndani kama guest houses na hotels kuchangamka kutokana na ongezeko la wageni toka nchi jirani kununua bidhaa hapa kwetu ,

Mimi sijasoma hata masuala ya uchumi ila naweza tu kutumia common sense na kuona vitu kwa mapana yake ,hao wapumbavu humo serikalini sijui huwa wanafanya nini .
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Hapo ni hatari

ILA jua Mchina ndo Mmarekani
 
kama watasababisha vitu viwe rahisi kwa mwananchi, wacha tu wachina waje. wafanyabiashara wetu watapata kushindana nao au kushirikiana nao. kuna shida gani hapo? serikali imefanya jambo la maana kabisa ili kuondoa monopoly ya wafanyabiashara wa kariakoo kujiamulia wapendavyo. na kama wachina watalipa kodi, kuna tatizo gani?
 
kwani ni lazima watu wawe kariakoo? hivi huyu mleta mada anawaza nini? au anafikiri Tanzania yote ni Kariakoo tu? anaogopa ushindani?
 
Sehemu gani ya China mkuu niende huko?
Nafanya biashara ya kuuza nguo kwa takribani miaka 18 sasa, na ninaenda China mara kadhaa, please nielekeze hilo chimbo.
Ingekua kweli mwenda china usingeuliza hivyo
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
We ndiyo mjinga serikali ina akili biashara ushindani. Hakuna wafanyabiashara wezi km wa kariakoo, wanaibia serikali wanaibia wateja. Huwezi jua bei halali hata siku moja wame-collude hakuna ushindani. Halafu wamejaa wachaga wanabebana na wana siri kubwa sana. Tena serikali if any haraka
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Kwani Kariakoo ikifa pakaibuka wengine s biashara zikaendelea na huduma zikapatikana kwa wananchi kwa bei rafiki kuna shida gani?

Hapa janjajanja ya waswahili itakuwa ndio mwisho
 
🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Usikute hii hasara ya nchi ni katika lile dili la kumuokoa Ridhiwani asinyongwe China pale alipokamatwa na makontena ya madawa ya kulevya. Sitoshangai kama Kikwete alihusika hapa, Ridhiwani kalitia hili taifa hasara sana eti leo kawa naibu waziri?

Kufikiria kwa makalio huku
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Acha ujinga wewe huna maarifa yeyote..

Huko Kariakooo mkishindwa kushindana mtakuwa mnauza maduka kama tuu ilivyo maeneo mengine,Kodi Iko pale pale.

Kwa taarifa Yako ukiacha Kurasini Kuna soko jingingine kubwa linajengwa ubungo pia
 
Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka

USSR
Matapeli hao achana nao,eti soko litakufa,geuzeni maduka au stoo nk kwani biashara ni evolution ya ushindani.

Huoni Vodacom na matapeli wenzie wanavyohaha kumzuia Musk asilete cheap internet Kwa visingizio kama vya mtoa mada
 
Back
Top Bottom