Hawa wapuuz huko serikalini huwa hivyo vichwa vimejaa usaha ,
Dunia hii ya leo kila nchi ina linda maslahi ya kiuchumi kwa mzawa kwanza ,nchi hii ya wapumbavu wapuuz wanakuja wanauza vyombo kama mamachinga ,wanafanya biashara ambazo zilitakiwa kuwa reserved Kwa wazawa ukizingatia uchumi ulivyo mdogo na wafanyabishara wazawa ni wadogo na wasio na mitaji mikubwa ,una create unequal playing field ,unaua prospect za wafanyabiashara wadogo wa ndani kukua kibiashara na kutengeneza mafukara ambao at the end of the day ni burden Kwa nchi .
Mtu mweusi hana akili ,watu wanaokuja kuwekeza humu Tanzania waje kama investors in real tangible assets kama viwanda ambazo zina create ajira na fursa kwa wazawa moja kwa moja na si hizo za kushindana kuipmort fake ass Chinese products ambazo kwanza zinaua maendeleo ya viwanda vya ndani na pia zina create harmful competition Kwa wafanyabiashara wazawa wa ndani .
Kama wanataka kupanua wigo wa soko na kuifanya Dar kuwa soko kubwa la bidhaa kwa nchi za Afrika mashariki na kati ,hilo lingeweza kufanyika kirahisi tu kwa serikali kutoa mikopo au kupunguza kodi kwa wafanyabishara wazawa hasa ambao wamekuwa kwenye biashara hizo kwa muda mrefu ili waweze kutanua biashara zao na kuwavutia wanunuzi toka nchi jirani kuja zaidi na hivyo kuvuna zaidi kwa kodi kutokana na wanunuzi kuongezeka hapa na hata biashara ndogo ndogo za ndani kama guest houses na hotels kuchangamka kutokana na ongezeko la wageni toka nchi jirani kununua bidhaa hapa kwetu ,
Mimi sijasoma hata masuala ya uchumi ila naweza tu kutumia common sense na kuona vitu kwa mapana yake ,hao wapumbavu humo serikalini sijui huwa wanafanya nini .