ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni kweli afu wanasingizia tozo wakati ni uongoDah!
Mkuu embu apia nijiridhishe kama unasema kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli afu wanasingizia tozo wakati ni uongoDah!
Mkuu embu apia nijiridhishe kama unasema kweli!
Ukiweza kufanya biashara ya kwenda Nje utatajirika sana ila tuu mtajiYaani nasikia kama miujiza!
Mzawa tapeli unamlinda Kwa maslahi ya nani na Kodi anakwepa?Hawa wapuuz huko serikalini huwa hivyo vichwa vimejaa usaha ,
Dunia hii ya leo kila nchi ina linda maslahi ya kiuchumi kwa mzawa kwanza ,nchi hii ya wapumbavu wapuuz wanakuja wanauza vyombo kama mamachinga ,wanafanya biashara ambazo zilitakiwa kuwa reserved Kwa wazawa ukizingatia uchumi ulivyo mdogo na wafanyabishara wazawa ni wadogo na wasio na mitaji mikubwa ,una create unequal playing field ,unaua prospect za wafanyabiashara wadogo wa ndani kukua kibiashara na kutengeneza mafukara ambao at the end of the day ni burden Kwa nchi .
Mtu mweusi hana akili ,watu wanaokuja kuwekeza humu Tanzania waje kama investors in real tangible assets kama viwanda ambazo zina create ajira na fursa kwa wazawa moja kwa moja na si hizo za kushindana kuipmort fake ass Chinese products ambazo kwanza zinaua maendeleo ya viwanda vya ndani na pia zina create harmful competition Kwa wafanyabiashara wazawa wa ndani .
Kama wanataka kupanua wigo wa soko na kuifanya Dar kuwa soko kubwa la bidhaa kwa nchi za Afrika mashariki na kati ,hilo lingeweza kufanyika kirahisi tu kwa serikali kutoa mikopo au kupunguza kodi kwa wafanyabishara wazawa hasa ambao wamekuwa kwenye biashara hizo kwa muda mrefu ili waweze kutanua biashara zao na kuwavutia wanunuzi toka nchi jirani kuja zaidi na hivyo kuvuna zaidi kwa kodi kutokana na wanunuzi kuongezeka hapa na hata biashara ndogo ndogo za ndani kama guest houses na hotels kuchangamka kutokana na ongezeko la wageni toka nchi jirani kununua bidhaa hapa kwetu ,
Mimi sijasoma hata masuala ya uchumi ila naweza tu kutumia common sense na kuona vitu kwa mapana yake ,hao wapumbavu humo serikalini sijui huwa wanafanya nini .
Mbumbumbu kama huyo kesho atakuja tena ooh tusijenge Sgr itaua biashara ya malori na mabasiWe ndiyo mjinga serikali ina akili biashara ushindani. Hakuna wafanyabiashara wezi km wa kariakoo, wanaibia serikali wanaibia wateja. Huwezi jua bei halali hata siku moja wame-collude hakuna ushindani. Halafu wamejaa wachaga wanabebana na wana siri kubwa sana. Tena serikali if any haraka
Akili ya kukwepa kodi huwa haina tabaka, hata mzungu ukizubaa tu unapigwa, toka dhana ya mfanyabiashara duniani ni kupata faida kubwa kadri iwezekanavyo toka zamani nyakati za yesu, wakwepa kodi walikuwepo!Ni kweli,Ila upande wa kulipa Kodi mchina nae hajambo kwa kukwepa. Maana hata sasa wale wachina wa kkoo bado wanakwepa Sana Kodi.
Umerudi na kichaa kile kile. Wapi nimetaja EFD?Nani kakuambia na efd zipo? Nyie mnafanyiwa hivyo Kwa sababu hata efd hamtaki kutumia.Mtanzania gani wa kutetea nyie matapeli?
Shida sio uwepo wa magulio , shida ni nani anafanya hayo magulio na mikataba ipiTuache mihemko, Duniani kote kwenye nchi zilizoendelea magulio yapo kila kitongoji.
Tusikariri maisha kwamba lazima watu wote wajazane Kkoo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nyani hushangilia kifo cha mwenye shamba ,wakiamini kuwa watakuwa huru kutafuna mahindi bila bugdha , wasichojua kuwa mwaka unaofuata hakuna wa kulilima hilo shamba.Sisi wananchi tunachotaka ni bidhaa kwa bei ya chini nyie madalali mtajijua dunia ni soko huria ,kariakoo walijaa Wachagga wezi wezi tu kuibia WATU wasiojua bei acha wachina wawavunde tena serikali iwahi haraka
USSR
😂😂😂 Aseee na analalamika KWA kujiamini kabisa kiatu icho icho anaagiza china mpaka anakivaa KWA elfu30 kuna watu wengine tuache tu kuwajibu huenda yupo igunga anahadithiwa basi akalibeba hivo hivoNa hafahamu nini maana ya biashara.
Viongozi wanatokana na jamii wanayoishi.Ulinde raia matapeli Kwa maslahi ya nani? Kwani wachina wanakuja Bure? Wataingiza pesa nyingi kuliko viduka vyenu hivyo,tafuteni kazi za kufanya mapema
Bora kuku kuliko chawaKwani wewe unapopanga mipango Yako ya mwezi wiki miaka Huwa unalijua.kesho.yako? Au unaishi kama kuku?
tatizo watanzania tunapenda urahisi sana, kama wachina hawana ujanja ujanja katika kulipa kodi wapewe. Hamna haja ya kumwacha mtanzania asiyelipa kodi kariakooKati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Waambie biashara ni upinzani,pili hata wachina wajae nchi nzima,hawatokosa kuuza kila mmoja na riziki zakeImepitishwa lini?
Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ilipinga hili
Tuache mihemko, Duniani kote kwenye nchi zilizoendelea magulio yapo kila kitongoji.
Tusikariri maisha kwamba lazima watu wote wajazane Kkoo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
China hakuna kiatu cha elf 30 ni 15 kushuka chiniWanaibia wanunuzi na serikali kwa ujumla kwa tamaa ya faida kubwa isiyoendana na huduma (bidhaa). Mfano kiatu anauza 50,000 apate faida ya 15,000 nje ya kodi. Kiatu hichohicho nikiagiza China kinagharimu 30,000 kila kitu hadi nakivaa
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.
Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
hawa ni wale watanzania wabinafsi wanataka kunufaika na soko hata kama wanatoa huduma mbovuTuache mihemko, Duniani kote kwenye nchi zilizoendelea magulio yapo kila kitongoji.
Tusikariri maisha kwamba lazima watu wote wajazane Kkoo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app