Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

Wa Kurasini wataenda na kariakoo wataenda Kariakoo hakuwezi kuisha watu.Nyie mnatupiga mnaenda China kitu cha sh 3500 kule ukija huku unauza mpaka 100.000/= bora waje wachayna wenyewe
Kweli aisee , Serikali iharakishe taratibu za kuwapa wachina wajenge.

Hawa wapuuzi cadet wananunua buku 3 china wanauza 25,000 bongo pumbavu sana
 
Ndiyo hatari ya mikopo hiyo. Mikopo inakuelemea hadi unaanza kukubali vitu visivyo na faida kwako. Mwigulu anapiga kelele kuwa wawekezaji wanakuja kuleta ajira, ukweli ni kuwa wanakuja kupora ajira.

Bahati mbaya Serikali ina njaa sana ya pesa yoyote ili iservice madeni. Kama hadi biashara za rejareja nchini mwako zikianza kushikwa na wageni jua kuwa umekwisha. Tuendako ni kubaya sana.
Kipi hakina faida? Walanguzi wa Tanzania na hao wanaotaka kuuza bidhaa Kwa bei cheap kama Dubai nani ni mshenzi hapo?
 
Na pia serekali itakusanya mabilion ya shs, imagine suruali moja ambayo huuzwa 10,000, itakapokuwa inauzwa 5000/-na serekali kukusanya Kodi 3000/-,unadhani serekali itakusanya kiasi gani?
Ni kweli,Ila upande wa kulipa Kodi mchina nae hajambo kwa kukwepa. Maana hata sasa wale wachina wa kkoo bado wanakwepa Sana Kodi.
 
Hapa sio china mzee.

Jukumu la Serikali ya Tanzania ni kuwalinda Raia wake kwa wivu mkubwa na sio kuwatengenezea Raia wa kigeni mazingira ya kunufaika.

Unachofanya wewe ni sawa na kumshangilia baba yako akimpeleka shule nzuri mtoto wa jirani na wewe akikupeleka shule ya kata.
Ulinde raia matapeli Kwa maslahi ya nani? Kwani wachina wanakuja Bure? Wataingiza pesa nyingi kuliko viduka vyenu hivyo,tafuteni kazi za kufanya mapema
 
Kuwe na level playing field. Nimesoma hapo kuwa hawa watauza halafu ndio walipe kodi. Wakati wa kariiakoo analipa kodi kabla Huoni kuna issue hapo?
Nani kakuambia na efd zipo? Nyie mnafanyiwa hivyo Kwa sababu hata efd hamtaki kutumia.Mtanzania gani wa kutetea nyie matapeli?
 
Rais atengue uteuzi wa Mwigulu japo ni mshikaji wake, ataliangamiza taifa kwa kiburi chake na ubinafsi uliopitiliza
Mwigulu ndio Waziri wa Viwanda na Biashara siku hizi? Mbona mnaropoka sana? Kwanza Jiji la Dar watafaidika sana
 
nawaza kotekote, naona kama ni sawa tu, badala ya kwenda china wafanyabiashara wanunue hapo wapeleke kwenye maduka yao kariakoo, lakini pia tuikumbuke tanzania yote si kariakoo tu. wafanya biashara wa mikoani kote tanzania waende hapo watuletee bidhaa huku vijijini kwa bei chee. naamini serikali itakusanya kodi maradufu kuliko inavyokusanya saa hivi kariakoo maana na cc watz ni janjawiid sana kwenye kodi. hebu waje tuwaone tuzione changamoto zake, tukiona haina manufaa tunawafurushia mbali sana, tunaanza upya. TUSIOGOPE
Wakienda Kurasini wakauzia Kariakooo Kuna shida? Wanachotaka hao matapeli na madalali ni.kuendelea kutulipua bei kubwa za bidhaa tofauti na uhalisia.

Pili kampuni nyingi za kusafirisha mizigo ndio Wana hofu
 
Kichwa kipi ulikuwa unamshauri atumie mwigulu !? Maana vyote vinafikiria
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
 
Wachina hawaji kushusha bei wanachofanya ni kuwa na eneo lao la pamoja kwa kuuza bidhaa kama hapa SA au Zambia wanaita China Mall kila kitu utapata hapo itaweza kuwasaidia wanaonunua kwa ajili ya kwenda kuuza maana masharti yao pia ni kuwa hawauzi reja reja...hapa ni Dragon city zinapatikana bidhaa kutoka China Johannesburg hapo...
Sasa ka mall kama hako ndio kaue Kariakooo?
 
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.

Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa na watu tena. Wachina tunawajua wanauza mpaka miwa wale na bei yao hutaweza kushindana nao kwa sababu wanapewa backup kubwa na Serikali yao.

Tuwe tunafikiria kwa kutumia kichwa.
Nchi nyingi zipo hivyo, inakua free port, ili wageni wanunuebila kodi biashara itàkua kubwa
 
Unawapangia miaka 10 ijayo wakati hata kesho yao hawaijui. Jifunze kwe yule mwehu aliyetaka kubadilisha katiba ili awe rais wa maisha sasa hivi anasumbuana na mashetani wenziwe huko jehanum
Kwani wewe unapopanga mipango Yako ya mwezi wiki miaka Huwa unalijua.kesho.yako? Au unaishi kama kuku?
 
Back
Top Bottom