Mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika

Inasikitisha kuona kijana wa Africa ana mawazo ya kitumwa kama haya. Africa ina safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka makucha ya Wakoloni kwa mawazo kama haya.
 
Point yangu kubwa sio LGBTQ ni ubishi wa Museven na Marekani, raisi wa Afrika huwezi kubishana na mabeberu watakupeleka ahera, huna nguvu ya kupambana na Mabeberu lazima raisi wa Afrika hilo uliweke akilini mwako
Kwa mtazamo huu wa vijana tusitarajie nchi za Africa kuendelea kulinda tamaduni za Waafrika na kuwa na misimamo yetu wenyewe. Poor generation, poor young perception ni heri kufa ukipigania kulinda heshima ya utu wa watu wako kuliko kudhalilishwa utu kwa kuwaogopa mabeberu. Kwani mabeberu ni Nini bwana.
 
Inasikitisha kuona kijana wa Africa ana mawazo ya kitumwa kama haya. Africa ina safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka makucha ya Wakoloni kwa mawazo kama haya.
Ujikomboe kwa wakoloni kivipi wewe hujui kuwa dunia ni ya mabeberu? Unapokuwa chini kubali kweli upo chini nilini Africa itafikia uchumi wa Japan au China? Angalao basi iseme tunawaweza mabeberu? Kwa ufisadi wetu na uhujumu wa miundombinu ndio unatupa kiburi? Japan inatengeneza magari ninyi viwanda vyenu ni vya biskut na maji pamoja viberiti, je kwa sifa hizi tunathubutu kusema tunapambana na mabeberu? Hata treni ya umeme imetusinda wakati kwa mabeberu zilikuwepo tangu miaka ya tisini, wewe haya huyaoni? Au wewe ni kipofu?
 
Hiyo hati miliki ya hao Mabeberu kuimiliki Dunia waliipata wapi? Ni waraka upi unatamka hivyo? Jitambue Mkuu, Africa is a sleeping giant, once ikiamka hakuna Bara linaweza kushindana na Africa
 
Wewe unazungumzia Mambo ambayo huyaelewi....kama wewe ni shoga kaa mbali na Uganda..au njoo ubipu Uganda kama unaweza..wewe inaelekea akija mzungu akulazimishe akugeuze utakubali....huna maamuzi yako..
 
si rahisi kwa sababu hata marekani kuna mgogoro mkubwa sana kati ya lgbt na wasiyo lgbt. Na hicho kinaweza kikapunguza kura au kikamwondoa Joe biden ikulu maana anasupport ushoga.

Sadam huseni na gaddaf waliondolewa kwa sababu zingine kabisa si ushoga
 
Wa kuondolewa angekua Obama, kilichomtoa Trump ni kupinga LGBTQ nikwambie sasa.
 
Kwahiyo unataka kutuambia nini hapa....kwamba tukunje mikia yetu maana hatuna nguvu..na wanaume na watoto wetu wa kiume waje waolewe tu wakati sisi tunaangalia..???
 
Siungi mkono ushoga! Lakini kama ataondoka mamlakani ni sawa kwa msimamo wake!,, Pia itakuwa wamebadili mfumo wa utawala wa Uganda! Imagine mi nimezaliwa, hadi Leo nimezaa huyu mzee anaitawala Uganda!
Hata hapendezi tena kutambulika kama Rais, hana siha nzuri, uzee mwingi na alivo hana damu ya nguo maskini, angepumzika tu Babu yetu.
 
Hiyo hati miliki ya hao Mabeberu kuimiliki Dunia waliipata wapi? Ni waraka upi unatamka hivyo? Jitambue Mkuu, Africa is a sleeping giant, once ikiamka hakuna Bara linaweza kushindana na Africa
Kabala hujatengua mada yangu niambie je uchumi wa nchi yako unawafikia Wachina, wajapan ili basi upate nguvu ya kupambana na mabeberu? Nchi pekee yenye sifa ya kupambana na Mabeberu ni China, Japan angalao na hizi nchi za Uarabuni zinazomiliki mafuta
 
Wa kuondolewa angekua Obama, kilichomtoa Trump ni kupinga LGBTQ nikwambie sasa.
yanayoendelea marekani kwa sasa ni tofauti sana, jamii imeshtuka...hata weusi wameshashtuka huyo Obama alikuwa rais mshereheshaji tu. hakuwasaidia lolote. Wait and see.....
 
yanayoendelea marekani kwa sasa ni tofauti sana, jamii imeshtuka...hata weusi wameshashtuka huyo Obama alikuwa rais mshereheshaji tu. hakuwasaidia lolote. Wait and see.....
Yanayoendelea Marekani sio sababu ya LGBTQ ni hayo mavita yao yasiyoisha na sababu za kiuchumi,
Hao Lgbtq wana wingi gani hadi wawe threat kwenye Nchi kubwa kama Marekani? au wana kipi cha ziada wakifanyacho hadi kuweka mgogoro kwenye Nchi zao,

Ni nyie huku Mavumbini ndio mna kuza mambo ambayo hayana uhalisia wowote.
 
Yanayoendelea Marekani sio sababu ya LGBTQ ni hayo mavita yao yasiyoisha na sababu za kiuchumi,
Hao Lgbtq wana wingi gani hadi wawe....
eti nyie huko mavumbini....... acha utumwa wa akili wewe, wewe huko uliko una nini cha maana kuliko unaosema wako mavumbini.

You are just a stupid modern slave unrecognised by any authority. hata ukifa huko uliko nobody cares. Unaishi huko kama mbwa koko tu.

kauli za kipumbavu kama hiyo wadanganye nduguzo na jamaa zako wasiojua uhalisia wa maisha us au europe kwa wahamiaji.
 
Siungi mkono ushoga! Lakini kama ataondoka mamlakani ni sawa kwa msimamo wake!,, Pia itakuwa wamebadili mfumo wa utawala wa Uganda! Imagine mi nimezaliwa, hadi Leo nimezaa huyu mzee anaitawala Uganda!
Sentensi zako zinajichanganya sana............
 
haya.....eti tulio mavumbini. acha utumwa wa akili wewe.
Kama hadi leo Umeme, Maji, Afya, Elimu, Miundombinu, Teknolojia, vyote huna na unategemea kwao misaada hadi ya chandarua wewe ni wa mavumbini yaan tabaka la mwisho, kama ni treni upo daraja la tatu, inauma ila ndio ukweli mchungu huo.
 
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ...
Museveni hana mgogoro na Merekani, Museveni ana mgogoro na mashoga.

Na uzi huu watajazana mashoga kumponda na kumuombea mabaya Museveni.

Hata akifa leo lakini kumbuka, kaitendea haki Uganda kwenye suala la ushoga.
 
Kama hadi leo Umeme, Maji, Afya, Elimu, Miundombinu, Teknolojia, vyote huna na unategemea kwao misaada hadi ya chandarua wewe ni wa mavumbini yaan tabaka la mwisho, kama ni treni upo daraja la tatu, inauma ila ndio ukweli mchungu huo.
Kiburi kitatumaliza Waafrika ninyi mashahidi Diamond Platnumz kamnyanyua Harmonize tu tayari kamemtunia misuli eti kanapambana nae haya ndiyo yanayofanyika kwa maraisi wa Afrika na Mabeberu
 
Hapa patam acha tuone. naona USA wataacha kuleta dawa za UKIMWI hlf wasikilizie yajayo.

maana apo ndo ilipo nguvu yao wakileta izo dawa na vile vilainishi vinapenyeshwa umoumo.

Kelele za maafa za wanazengo uko kitaa na presha ya siasa lazma zimrudishe M7 mezani. ni ngumu sana kuwa huru ukiwa masikini.
 
Nchi inataka maraisi wenye busara kama Mzee Nyerere, Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, Mwinyi wa Zanzibar, Samia na sio maraisi wenye kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…