Museveni aache kuingilia uhuru wa binadamu, binadamu ni mtu anayetaka kuishi kama atakavyo, huwezi kupambana na binadamu, Ushoga, Umalaya, Ulevi, Ufisadi na mengineyo yalikuwepo duniani kabla Yesu hajazaliwa alipokuja duniani akaanza kupambana navyo matokeo yake wakamtundika msalabani wala hawakumuogopa japokuwa alikuwa mwana wa Mungu, sasa Museveni nae watamtundika msalabani. Kama Yesu alishindwa yeye ni nani? Ushoga haujaanza leo na huwezi kupambana nao. Kabla hujapambana na ushoga au uovu mwingine nenda kamuulize Yesu walimfanyaje ndipo na wewe uanze kupambana