Mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika

Umefika mwisho wake huwezi kubishana na Marekani ukabaki salama

Marekani kashakuwa mbwa koko hana madhara, mbona S. Africa wamemdindia amefanya nini?. Tunahitaji Multipolar world sio mtu mmoja anaingilia mambo yenu ya nchi. Kama wao wameamua kupakwa nazi ni wao, wasitulazimishe na sisi. Nini maana ya Demokrasia? Anachofanya US ni sawa???
 
Nchi inataka maraisi wenye busara kama Mzee Nyerere, Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, Mwinyi wa Zanzibar, Samia na sio maraisi wenye kiburi
Tatizo hampendi ukweli, mkiambiwa ukweli acheni ushoga mnasema kiburi mnapenda serikali zinazopetipeti ushoga. Museveni shikilia hapohapo.
 
Kabala hujatengua mada yangu niambie je uchumi wa nchi yako unawafikia Wachina, wajapan ili basi upate nguvu ya kupambana na mabeberu? Nchi pekee yenye sifa ya kupambana na Mabeberu ni China, Japan angalao na hizi nchi za Uarabuni zinazomiliki mafuta
Mkuu kwani urefu wako umemzidi Hashim Thabit? Uchumi wako umemzidi Mo? Je, kwakuwa wamekuzidi hivyo vitu inawapa uhalali wa wewe namna ya kuishi na familia yako na matumizi ya Via vyako vya uzazi?
 
Hivi ujui utapata cancer si tatizo?
Hivi hata kubalance haja si tatizo
Mwanaume unakuwa kama mwanamke unashikwa makalio si tatizo.
Na motoni unaenda si tatizo,
Na tatizo mnatuharibia vijna na watoto wetu ,natamani nikuwashe kofi, ningekuwa raisi ningeua mashoga wote ,Mungu awauwe mm nani nisiwaue
 
Unaandika kama aliyefikia mwisho kabsa katika kukata tamaa na kujikataa. Umechoka sana!
Labda jibu hili.
Wewe unaonaje?
 
Hakuna haki za binadamu kwenye mambo ya kijinga; trunasimamia miiko yetu
 
Kwani amesaini kuwa sheria?.
 

Kama anajimudu bila misaada atatoboa fresh tu ,kama hana nuclear kwake atatoboa fresh tu! Naungana na Mu7 kupinga "Upinde".
 
Kwani kuna lolote lisilo na mwisho? Hakuna. Naam, mwisho wa Museveni lazima ungelifika tu.

Lakini tayari sheria ya kukataa ushoga imesainiwa na kufanya kazi sasa. Wewe na wenzako kaendeleeni kupiga kelele na hakuna kitu mtafanya.

Nendeni hapo jirani tu, Uganda. Kafanyeni upuuzi wenu kisha Marekani aje kuwakomboa.
 
Africa tumelelewa ki coward sana. Vijana wa leo wapo radhi kukubali kudidimizwa ila sio kusimamia haki.

Sasa mfano hapa mleta mada tazama alivyokuwa na spirit ya uoga na uzembe kiasi kwamba yupo radhi kumtetea shetani au mtu anayeangamiza na sio kutetea utamaduni wale kwa jasho na Damu.

Msimamo wako wa kwanza ni wewe ndani ya nafsi yako inaamini nini na sio Marekani anasema nini. Marekani anaweza kutaka mataifa mengine yafuate tamaduni zake kama Democracy and this crap about Homosexuality, but je ana hiyo haki hadi wewe uje hapa kumtetea yeye tena kinafiki kabisa.

So kama kuna mtu anawaonea wewe na familia yako wewe utasimama upande wake, ina maana wewe hofu au uoga wako unaupa nafasi ya kwanza before familia yako?

Museven ni rais wa taifa la watu weusi same as wewe, je kutetea jamii yake ya mtu mweusi inakupaje wewe hofu hadi unafikia hatua ya kusimama upande wa Marekani na interests zake badala ya kusimama na mtu mweusi mwenzako ambaye analinda na kutetea tamaduni ya mtu mweusi.

Ushoga wewe unakuhusu nini , kuna utamaduni wa mwafrika sehemu unasema ni sawa watu kuoana jinsia moja tena kisheria?! Kwann usapoti sasa taifa linaloshinikiza huo ushenzi kwa wengine?!
 
Apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, dikiteita apigwe aondolewwe madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…