Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Umefika mwisho wake huwezi kubishana na Marekani ukabaki salama
Marekani kashakuwa mbwa koko hana madhara, mbona S. Africa wamemdindia amefanya nini?. Tunahitaji Multipolar world sio mtu mmoja anaingilia mambo yenu ya nchi. Kama wao wameamua kupakwa nazi ni wao, wasitulazimishe na sisi. Nini maana ya Demokrasia? Anachofanya US ni sawa???