Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani.
Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, " the myth of st javelin against Russian thanks'.
Kama ilivyo kwa vifaru na silaha zingine imeonesha wazi kuwa matumizi ya ndege vita na helicopters imekuwa kama kujipeleka kwenye moto wa kuzimu. Inawezekana kuruka na helicopter ndani ya uwanja wa vita ikawa ni kujipeleka kwenye kifo maana hata ukiruka futi 5000 unaweza kushambuliwa na silaha za begani za kulipulia vifaru.
Baada ya wababe wa vita kutoka Urusi kwenda kumtwanga jirani yake mchokozi wataalamu wengi wa vita walitabili kuwa ingechukua mda mchache sana kuichakaza Ukraine. What changed the tide of Russia escalation ? Ni kweli Russia alishindwa kulitawala anga la adui yake.
Naomba kudadisi kuwa inawezekana kupata air superiority kwa sasa kwenye uwanja vita na kama hakuna kuna umehimu gani wa ndege vita tofauti na zile za kufanya upelelezi.