Ile ishu ya masaa 72 mliishia wapi? Maana naona bado mnaendelea na vitaUnaposema mwaka wa 2 hajampiga, angalia nchi ya Ukraine inavyozidi kuwaka moto na kuwa magofu. Lakini zaidi jiulize ni Mataifa Mangapi yapo upande wa Ukraine dhidi ya Mwamba mmoja Putin. Kule Ukraine kuna nchi zaidi ya 20 tena kubwa zikiongozwa na Marekani ambayo imetenga majeti ya kubwa zaidi ya Ukraine yenyewe kwenye hivyo vita. Sasa jiulize kama Mrusi peke yake abapiga na mataifa makubwa hivyo kwa pamoja na bado wanakula kichapo, je angebaki Ukraine peke yake leo hii kungekuwa hata sisimizi hai pale?