Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

Kwa upande wangu!!
Vita bado ni mbichi kote kote, mrusi amepoteza vikose na zana nyingi na bado anaendelea kupoteza wakati Ukraine nae anapoteza mara mbili zaidi wanajeshi,raia,vifaa,miundombinu na majengo muhimu kila kukicha! Hadi Sasa ni ngumu sana kutoa utabiri wa vita jinsi itakavyoisha! Na nani atakayeathirika zaidi
 
Unaposema mwaka wa 2 hajampiga, angalia nchi ya Ukraine inavyozidi kuwaka moto na kuwa magofu. Lakini zaidi jiulize ni Mataifa Mangapi yapo upande wa Ukraine dhidi ya Mwamba mmoja Putin. Kule Ukraine kuna nchi zaidi ya 20 tena kubwa zikiongozwa na Marekani ambayo imetenga majeti ya kubwa zaidi ya Ukraine yenyewe kwenye hivyo vita. Sasa jiulize kama Mrusi peke yake abapiga na mataifa makubwa hivyo kwa pamoja na bado wanakula kichapo, je angebaki Ukraine peke yake leo hii kungekuwa hata sisimizi hai pale?
Putin alisema atakaeingilia ugomvi atampiga. Aanze basi kushambulia Marekani na washirika wake
 
Ishu ni kwamba urusi na ukraine wanajuana kua ni ndugu 1 na anaewapiganisha ni beberu toka nje kupitia kibaraka wake,,, hii vita itaenda kipropaganda sana, mrusi akiweka undugu pembeni anaweza akaichakaza ukraine ndani ya muda mfupi tu shida atafyeka hadi wasio na hatia ndo kitu asichotaka,, acha tuone huu mziki ukihamia Finland itakuaje maana ubabe halisi unaweza ukaonyeshwa kule
Ameshindwa Ukraine ndio ataweza Finland. Aguse basi aone moto wake
 
Ishu ni kwamba urusi na ukraine wanajuana kua ni ndugu 1 na anaewapiganisha ni beberu toka nje kupitia kibaraka wake,,, hii vita itaenda kipropaganda sana, mrusi akiweka undugu pembeni anaweza akaichakaza ukraine ndani ya muda mfupi tu shida atafyeka hadi wasio na hatia ndo kitu asichotaka,, acha tuone huu mziki ukihamia Finland itakuaje maana ubabe halisi unaweza ukaonyeshwa kule
Sawa mkuu, so unamaanisha yale masaa 72 ilikuwa ni uongo? Kama ni uongo hayo mambo undugu ntaaminije kuwa ni ya kweli?
 
Unaenda kumkata mikono dada yako halafu unawaambia watu , siwezi kumuua huyu dada yangu, namkata tu mikono, hivi hizo ni akili au ujinga.

Muwe mnaangalia na vitu vya kushabikia basi.
Pale kimeo ni Zelensky na si ukraine yote, ndo maana walifanya mapinduzi kipindi cha nyuma ili awekwe kibaraka wa nato,,, mrusi hana shida na watu wa ukraine yeye ana shida na kirusi cha nato kilichopandikizwa ukraine
 
Unaposema mwaka wa 2 hajampiga, angalia nchi ya Ukraine inavyozidi kuwaka moto na kuwa magofu. Lakini zaidi jiulize ni Mataifa Mangapi yapo upande wa Ukraine dhidi ya Mwamba mmoja Putin. Kule Ukraine kuna nchi zaidi ya 20 tena kubwa zikiongozwa na Marekani ambayo imetenga majeti ya kubwa zaidi ya Ukraine yenyewe kwenye hivyo vita. Sasa jiulize kama Mrusi peke yake abapiga na mataifa makubwa hivyo kwa pamoja na bado wanakula kichapo, je angebaki Ukraine peke yake leo hii kungekuwa hata sisimizi hai pale?
Hao watakutia njaa hawaelewi.
 
Russia kwa sasa inapambana na Us n NATO siyo Ukraine.Bila kuweka ushabiki mbele Russia bado ni tishio kwa US n nchi za Magharibi.
Anapiganaje na US wakati US hajapeleka hata kandege 1?
 
Kwa upande wangu!!
Vita bado ni mbichi kote kote, mrusi amepoteza vikose na zana nyingi na bado anaendelea kupoteza wakati Ukraine nae anapoteza mara mbili zaidi wanajeshi,raia,vifaa,miundombinu na majengo muhimu kila kukicha! Hadi Sasa ni ngumu sana kutoa utabiri wa vita jinsi itakavyoisha! Na nani atakayeathirika zaidi
Unatumia ushahidi gani wa picha kuwa mmeharibu chochote cha Ukraine?
 
Back
Top Bottom