Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

Tuombe tu vita isije upande wetu tena tukakutana na watu wanaotumia teknolojia kupambana.

Tumebakiwa na jina/sifa ila utendaji sidhani, mishahara/malipo na siasa yameondoa ufanisi.
 
Ndege zipi za Marekani zimeprove failure na kwenye vita gani?
Ndege zipi Marekani imeacha kutumia?
 
Seconded
 
Ndege zipi za Marekani zimeprove failure na kwenye vita gani?
Ndege zipi Marekani imeacha kutumia?
Hujui kusoma...mnaona Marekani kama ni miungu kwenye hii dunia

 
Ukweli uko pale pale Russia ana kila kitu
Jeshi kubwa
Silaha bora kabisa dunian tena nyingi.
ILA HIVI VITA HAJAWEZA KUTUONESHA UBORA WAKE, zelensky angetakiwa siku ya tatu ya vita awe ameshatoka kyiv
 
Ni vita gani ndege za Marekani zimeprove failure?
Ni ndege zipi Marekani imeacha kutumia?

Hayo maswali mawili hujajibu, ni rahisi sana yanahitaji utaje tu badala yake umetoa article ya maoni yaliyotolewa na mtu binafsi. F-35 unit price kwa sasa inafika hata around $80 million, hela ambayo ni ndogo kuliko hata used Dassault Rafale, new Eurofighter Typhoon na hela karibia sawa na new advanced F-15EX hizo zote sio stealth.
F-35 ina operation cost kubwa na watumiaji wake wanalijua hilo. Wazungu sio wapumbavu kununua units zaidi ya 900 na wakija kununua wanafanya competition makampuni yanapeleka ndege zaidi ya sita tofauti inachaguliwa yenyewe. Finland, US, Britain, Israel, South Korea, Japan na wengine nimewasahau ni wajinga sana ila wewe una akili sio?

Su-57 ya Urusi ina mteja hata mmoja, kwanza wao hata units 20 hawana? Su-35 zao zilizotengenezwa hata 200 hazifiki. Yani namba zinakukataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…