Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Serikali ya chama kimoja ikiendelea kuishi kwa kufanya chama ni usalama,jeshi,uchumi na mengine usije shangaa 2025 jeshi likatumika kuiba uchaguzi kulinda chama cha ccm. Amen
 
Kagame habari nyingine ile
Kabla hajaingia Ikulu, ashakaa msituni sana
tatizo humu watu huwaambii kitu kuhusu jwtz. ukikosoa tu utaletewa stori za miaka iyo za idd amin na kule anjuan. watu wanataka usifie tu. ukisema ukweli unaambiwa ww snitch mara umetumwa. sasa kipi bora tukae tunashangilia tuna jeshi imara au tuambizane ukweli.
 
tatizo humu watu huwaambii kitu kuhusu jwtz. utaletewa stori za miaka iyo za idd amin na kule anjuan. watu wanataka usifie tu. ukisema ukweli unaambiwa ww snitch mara umetumwa. sasa kipi bora tukae tunashangilia tuna jeshi imara au tuambizane ukweli.

Nguvu ya Kagame ni kuwa ana uwezo mkubwa wa Kiakili!. Ili umshinde inabidi uwe na akili kumzidi au angalau ulingane naye.
 
Nilisema huyu Bwana tunapoelekra tutamshika miguu EAC
 
Waj
Wajeda wetu walianza kupoteza mvuto na kumbe hadi uwezo baada ya kujiingiza kwenye mambo yasiyowahusu ya walamba asali
 
Hayo majibu waliyopewa ni ya kweli.
Ukiwa kwenye mkataba wa ulinzi wa amani, silaha na vifaa vya kijeshi hulipiwa na UN.
Halafu mikataba ya kiulinzi ya UN hauruhusiwi kurusha risasi hata uchokozwe.
 

..Na alipokuja Dsm kwenye mkutano wa Sadc-Eac tukampokea kwa heshima za kijeshi, maturumbeta, na wakata viuno.
 
Mm mzanzibari lkn haya ulosema hapa sikubaliani nayo ni stori za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…