y tu tambien, coño!!Tabula rasa, huyu apuuzwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
y tu tambien, coño!!Tabula rasa, huyu apuuzwe.
Kwani ukijamba chanzo cha kuwa unataka kutoa aja kubwa ulitaka chanzo gani.Chanzo bbc news eti
Upuuzwey tu tambien, coño!!
tatizo humu watu huwaambii kitu kuhusu jwtz. ukikosoa tu utaletewa stori za miaka iyo za idd amin na kule anjuan. watu wanataka usifie tu. ukisema ukweli unaambiwa ww snitch mara umetumwa. sasa kipi bora tukae tunashangilia tuna jeshi imara au tuambizane ukweli.Kagame habari nyingine ile
Kabla hajaingia Ikulu, ashakaa msituni sana
tatizo humu watu huwaambii kitu kuhusu jwtz. utaletewa stori za miaka iyo za idd amin na kule anjuan. watu wanataka usifie tu. ukisema ukweli unaambiwa ww snitch mara umetumwa. sasa kipi bora tukae tunashangilia tuna jeshi imara au tuambizane ukweli.
Nilisema huyu Bwana tunapoelekra tutamshika miguu EACNajua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ!
Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo.
What we use to know as Tanzania Pride iliyokuwa inabebwa na Jeshi letu la Wananchi (Tanzania People's Defence Forces) imefikia tamati baada ya wanajeshi wetu kudhalilishwa huko Rwanda kwa kusubilishwa kwa masaa mpakani na Wanajeshi (Mamlaka za Rwanda).
Wanajeshi wetu waliosubilishwa mpakani ni sehemu ya majeruhi wa vikosi vya SADC waliopokea kichapo kutoka kwa Wanajeshi wa Rwanda na Washirika wao M23.
Inasemwa pia Wanajeshi wetu kama sehemu ya wanajeshi wa SADC wamenyang'anywa silaha zao na wanamgambo wa M23 na kuwekwa chini ya ulinzi mkali. Hawawezi fanya chochote bila ruhusa ya M23.
Itakumbukwa hadi miili ya Wanajeshi wetu waliouwawa bado haijarudishwa na inawezekana jamaa wanatuwekea ngumu ili tuendelee kuwalamba miguu na ili watuoneshe kuwa sasa wao ndo mabwana zetu kivita.
Naumia sana Nchi yangu kufikia hapa. Naumia sana Jeshi langu JWTZ kufikia kudhalilishwa hivi.
Kuna haja ya kujitafakari na kuanza upya. CCM ni janga.
View attachment 3249000
=======
Takriban wanajeshi 200 wanaohitaji wakihitajihuduma ya matibabu wakiwemo wale wa Afrika Kusini, Malawi na Tanzania walioko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa ujumbe unaojulikana kwa jina la SAMIDRC waliondoka Goma na kuvuka mpaka na kuingia Rwanda kuelekea Kigali kwaajili ya kupata ndege za kuwarejesha makwao.
Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini alitangaza wikendiiliyopita kwamba wanajeshi wao waliojeruhiwa katika mapigano na M23 nchini DRC wataanza kurejeshwa makwao wiki hii.
Donatien Mugabo, mkazi wa Gisenyi nchini Rwanda,ambaye ameshuhudia magari yaliyokuwayamewabeba askari hao yakiondoka mpakani kwa upande wa Rwanda, ameiambia BBC kuwa walikuwa kwenye mpaka huo kwa saa kadhaa.
![]()
Walifika mpakani Jumatatu saa sita mchana, na waliondoka mpakani baada ya saa kumi na mbili jioni, Donatien anasema.
Haijabainika ni nini kilisababisha wacheleweshwe mpakani.
Vyombo vya habari vya Goma - jiji linalodhibitiwa na M23 na nchini Rwanda vilipigwa marufuku kupiga picha au kuzungumza na wanajeshi, kama ilivyokuwa wakati mamluki wa Ulaya walipoondoka Goma kupitia Rwanda.
Magazeti ya Rwanda yanaripoti kuwa wanajeshi 129 wanatoka Afrika Kusini, 40 kutoka Malawi na 25 kutoka Tanzania.
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na nchi walikotoka askari hao hawajazungumzia kuachiliwa kwa askari hao wanaotajwa kuhitaji matibabu.
Wajeda wetu walianza kupoteza mvuto na kumbe hadi uwezo baada ya kujiingiza kwenye mambo yasiyowahusu ya walamba asaliNajua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ!

Hayo majibu waliyopewa ni ya kweli.Hawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.
Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja wa Mataifa sio za Tanzania.
Cha ajabu wao hutumia silaha hizo kuteka maeneo mashariki mwa Congo.
Je wanajeshi wetu hawakubeba hata silaha zetu chache wakati wakitoka huku kwenda Congo?
Source: BBC Swahili news.
Cc Eli CohenBila picha ni umbea tu
Issue inaratibiwa na UN na SADC alafu unasema hakuna delay?
Kwenye haya masuala hakuna jambo linalofanywa kwa bahati mbaya. Hapo jamaa anajaribu kuwaonesha You are nothing to me na hamuwezi kunifanya chochote.
Hapo jamaa anawatumia message kuwa mie ndo mtabe wa eneo hili na mkome kuja huku.
Hawajacheleweshwa kwa bahati mbaya.
Mm mzanzibari lkn haya ulosema hapa sikubaliani nayo ni stori za vijiweniSi tunaona kila siku maiti za Tz zinarudishwa kwenye masanduku toka congo, Iddi amini hakuondolewa ni jeshi la Tanganyika ni jeshi la Zanzibar ndio lilitumiliwa na mchonga meno kumuondoa ndugu yao muislamu madarakani, Iddi amini alikuwa kiongozi mzuri sema zilikuwa chuki za julius nyerere kwa waislam, na tanzania vita ile walipata msaada kedekede toka nje dhidi ya kuupiga vita uislam Africa mashariki na kusimamisha kanisa.
Tz haina hata ndege 1 ya kisasa yakivita labda hao mbwa mnaobeba mgongoni na mabegi mazito mgongoni.