Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sijasema uongo wowote. Wanasiasa na wakubwa jeshini wanaona aibu kwa jinsi Kagame na M23 walichowafanyia wapiganaji wetu.Halafu ukitekwa unasema wewe ni mwanaharakati huru, kumbe umbea tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema uongo wowote. Wanasiasa na wakubwa jeshini wanaona aibu kwa jinsi Kagame na M23 walichowafanyia wapiganaji wetu.Halafu ukitekwa unasema wewe ni mwanaharakati huru, kumbe umbea tu!
Wewe bisha tu. Siku 3 zijazo hii habari itaenea kote.Hilo haliwezekani maana huwezi kuwafanyia wanajeshi walio chini ya umoja wa mataifa kitu kama hicho hutakuwa hujipendi kabisa..
Alafu thread yako inaonyesha uelewa wako wa mambo baro upo chini.
NdiyoKwamba wamenyang'anywa mpaka silaha 😀
nyi si munabeba mbwa sana huko kwenye sherehe zenu, vita vina wenyeweHawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.
Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja wa Mataifa sio za Tanzania.
Cha ajabu wao hutumia silaha hizo kuteka maeneo mashariki mwa Congo.
Je wanajeshi wetu hawakubeba hata silaha zetu chache wakati wakitoka huku kwenda Congo?
Source: BBC Swahili news.
Uongozi wa m23 walikataa mapicha picha na sio wetu tu ata wa SA na MALAWIBila picha ni umbea tu
Vijana wa kagame hao wametumwa kuja kujifurahisha mitandaoni.Mi nikajua wamedhalilishwa kwa kupokea kichapo mpaka wameacha viatu na kukimbilia mpakani kumbe mambo ya protokali hayo ya kawaida mbona, hata mtz ukijulikana upo Rwanda unavuka border utasachiwa mpaka mazivu.
Unajitekenya na kagame wako na m23 wenu hao na mnacheka wenyeweSijasema uongo wowote. Wanasiasa na wakubwa jeshini wanaona aibu kwa jinsi Kagame na M23 walichowafanyia wapiganaji wetu.
Hawataweza Wataishia Kujifariji TuVijana wa kagame hao wametumwa kuja kujifurahisha mitandaoni.