Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Zina gharama gani? Walikwenda na vifaru vya mizinga au ni Bunduki peke yake?Hawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.
Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja wa Mataifa sio za Tanzania.
Cha ajabu wao hutumia silaha hizo kuteka maeneo mashariki mwa Congo.
Je wanajeshi wetu hawakubeba hata silaha zetu chache wakati wakitoka huku kwenda Congo?
Source: BBC Swahili news.