Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Vita hivyo mnavyoendesha congo kwa waliosalitiana unajisifia navyo? Na una sema tunabeba mbwa?. Waambie hao wanaume zenu watie mguu Tanzania Kama alivyofanya iddi amini dada. Alafu uone Kama wanabeba mbwa au kimbau mbau ajatafute pa kwenda uamishoni. Ushoga wenu pelekeni uko uko kwa wasiliti wa kikongo siyo Tanzania. Mtakuja kuvaa magaoni mjigmfanye wanawake msiguswe. Lopoka tu
Tanzania hatuna jeshi , na ccmu wamjisahau sana , wanakula kodi zetu vby hawajengi jeshi , endelea kuleta ushabiki wa kitoto , siku wakitua Tz ndo utaelewa
 
Si tunaona kila siku maiti za Tz zinarudishwa kwenye masanduku toka congo, Iddi amini hakuondolewa ni jeshi la Tanganyika ni jeshi la Zanzibar ndio lilitumiliwa na mchonga meno kumuondoa ndugu yao muislamu madarakani, Iddi amini alikuwa kiongozi mzuri sema zilikuwa chuki za julius nyerere kwa waislam, na tanzania vita ile walipata msaada kedekede toka nje dhidi ya kuupiga vita uislam Africa mashariki na kusimamisha kanisa.

Tz haina hata ndege 1 ya kisasa yakivita labda hao mbwa mnaobeba mgongoni na mabegi mazito mgongoni.
Waislam siku hz mmetiwa uchiz na nan ? watu wa kagera wakikusikia bas watakutoa linda , hizi dini mliletewa ila zimewafanya wehu
 
Huyu Amiri Jeshi wa sasa anatudhalilisha.Hivi lile Jeshi la JKN liliichukua kampala na kupigana kote huko kusini mwa Africa liko wapi?Soon kwa mwendo huu tunaweza sumbuliwa na waasi wa Mtwara toka msumbiji tusipokuwa makini 🤔
 
Rwanda Huwa wanaidogosha tu lakini ni Nchi ambayo inajeshi Bora na la kisasa.Mfano mwaka 2013/2014 alipotaka kutuchapa watanzania alikuwa anasilaha za kisasa kama ndege zisizo na rubani na silaha za balistiki ambazo zinaweza kufyatuliwa kutoka Kigali Hadi feri magogoni Dar es salaam

Nchi gani imewahi kushinda vita kwa kutumia drones?

Umeambiwa TZ haina ballistic missiles?

RW kuipiga TZ ni ndoto za mchana. Kikubwa hapa ni unyonge wa TZ sababu mmefundishwa unyonge na serikali yenu. Mbongo hata kazi hawezi kuomba akisikia anashinda na mtu yeyote wa nje anajua tayari kashindwa, hamjui lugha, hamna confidence, hamna maarifa.
 
Nchi gani imewahi kushinda vita kwa kutumia drones?

Umeambiwa TZ haina ballistic missiles?

kuipiga TZ ni ndoto za mchana. Kikubwa hapa ni unyonge wa TZ sababu mmefundishwa unyonge na serikali yenu. Mbongo hata kazi hawezi kuomba akisikia anashinda na mtu yeyote wa nje anajua tayari kashindwa, hamjui lugha, hamna confidence, hamna maarifa.
Rwanda ni nchi ndogo lakini rais wake ana akili-kubwa. Kushinda vita huwa inahitajika akili-kubwa kama za Kagame au M23 siyo propaganda kama propaganda za ma-ccm.
 
Binafsi nakiri kuwa tuna ombwe la uongozi Afrika Mashariki, natamani Mwalimu angekuwa Rais anashuhudia haya, bila shakha mpaka sasa kwa kizazi cha kina Nyerere Rwanda isingekuwa na haki ya kupisha chochote katika anga letu au bandari yetu.

Somehow you are wrong!

Wanajeshi wetu wanapaswa kupelekwa kwenda kulinda amani katika nchi zingine lakini muda wote kabisa wanapaswa wasimame katika Upande wa HAKI. Wasiende huko ili kwenda kuwatetea au kuungana na Watawala wa huko ambao ni Wadhalimu. Ujumbe wa Kulinda Amani usititumwe ili kwenda kusaidia au kuungana na upande wa Wadhalimu.

Daima Tukumbuke kwamba 'ukiungana na Wadhalimu basi tambua kwamba Wapenda HAKI hawatakuwa upande wako.'
 
Binafsi nakiri kuwa tuna ombwe la uongozi Afrika Mashariki, natamani Mwalimu angekuwa Rais anashuhudia haya, bila shakha mpaka sasa kwa kizazi cha kina Nyerere Rwanda isingekuwa na haki ya kupisha chochote katika anga letu au bandari yetu.

Mkuu, Rwanda ametukosea nini hadi tusitishe ushirikiano nao? So far sioni cha ajabu alichofanya kinachotuhusu sisi moja kwa moja. Nieleweshe.
 
Back
Top Bottom