Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #441
Ukiwa under UN kuna rules zinakubana. Ila hawa hawa wangekuwa under AU rules story ingekuwa tofautinina mashaka sana na jeshi la Tanzania
seems very weak and unprofessional
Wanarudi au wanarudishwa kwa nguvu na M23?This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania, Malawi, and South Africa, as well as more than 10,000 troops from Burundi, Wazalendo forces, and FARDC. They were searched by Normal Police at Rwandan - DRc Boarder and their hand bags
Fatilia acha ubishiNenda ukatafutw hqbari, jeshi lipo goma peke ni 1300 kwa camp moja, ila hawa wana camp 3 ndani ya Muji goma, kwa hio unasema jeshi 5k hawapo? South African wametuma 2900, Tanzania na Malawi wakatuma 2100.
Hii fedheha kubwa sana hii!!View attachment 3255657Jeshi la Tanzania liko mpakani mwa Rwanda na DRC Rubavu Boarder post , wakikaguliwa na polisi wa kawaida wa Rwanda. Hii ilitokea baada ya M23 kuteka jiji lote la Goma, na wakaacha silaha zao zote mikononi mwa M23.
View attachment 3255651
View attachment 3255652
View attachment 3255653
Unataka waanze kutukatia Umeme?Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika kwelikweli kiasi kwamba wakulima wamekosa mazao yao kwa kukauka shambani, lakini bado mafisadi yanaona aibu kutangaza mgao wa umeme kwa sababu wanaogopa watawaambia nini Watanzania kwa sababu wanajua bwawa lao la umeme walilojengewa na Rais wa wanyonge limekamilika na linauwezo wa kutoa megawati 2115.
Mafisadi kwa vikao vyao yanajiuliza sasa tutakula wapi? Na yanapofikia hiyo hatua humlaani Hayati Magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo na yakimaliza yanamlaani pia Rais Samia kwa kukubali kumalizia miradi yote iliyoachwa na Magufuli ikiwemo hilo bwawa la umeme.
Matarajio ya mafisadi ilikuwa ni kwamba pale tu Magufuli alipofariki na ujenzi wa bwawa ungeishia hapo.
Jeshi la CCM.This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania, Malawi, and South Africa, as well as more than 10,000 troops from Burundi, Wazalendo forces, and FARDC. They were searched by Normal Police at Rwandan - DRc Boarder and their hand bags
Anaonekana au linaonekana, Mbona huna shaka na jeshi la malawi au Afrika kusini maana wote walikua pamoja.nina mashaka sana na jeshi la Tanzania
inaonekana dhaifu sana na isiyo ya kitaalamu