Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Jeshi lote la SMIDRC ( South africa ,3000 , Tanzania 1000, Malawi 1000, ) hawa wote ni matekwa, they check the documents.


 

Attachments

  • IMG_1283.jpeg
    345.4 KB · Views: 2
  • IMG_1285.jpeg
    462.4 KB · Views: 1
  • IMG_1286.jpeg
    648 KB · Views: 3
  • IMG_1282.jpeg
    97.9 KB · Views: 1
Chini ya serikali pumbff ya samia watakuja hata kupigwa tigo
 
Vita ni vita muraa...
Na hatuwezi kusema tumeshindwa wakati jeshi lenyewe kutoka Tanzania hawakuwa hata 500 na bado maelekezo ya namna ya kupigana na kupiga wapi yalitoka moja kwa moja kutoka vikosi vya UN.. ila bado nimejisikia vibaya sana..

Yaani nilikuwa nakula hata chakula kula nimeshindwa kumaliza haa wasenge rwanda ipo siku yao kenge hawa.
 
Mimi napenda kujuwa tu kama kwenda huko (DRC), walipitia pia Rwanda, na kama walipekuliwa na kucheleweshwa mpakani kama ilivyo wakati wakirudi.

Je silaha zao zilipitia wapi?

'Adventure' za aina hii inabidi zikome.
Jeshi letu linapokwenda popote kupigana, au hata kulinda amani, ni lazima liwe tayari kukabiliana na hali iliyopo bila ya kubanwa banwa na taratibu zinazo hatarisha maisha yao.
 
Hii kitu haitapita Bure!

Wakikasirika hao jamaa Huwa hawaitishi press, ni vitendo.

Tusubiri
 
Unaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.

Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
 
Sasa tueleze wewe hapo "wamelinda amani" gani? Matokeo si umeyaona?
Unalinda amani huku ukiuliwa?

Wewe unasema watu wanaongea sana vitu wasivyo vijua. Kuna kitu gani cha ajabu hapo ambacho hakiwezi kufahamika?
'Bottomline' nikwamba hatuwezi kuwa na jeshi la kuchezea chezea na kukodisha. Askari wetu wanapo kwenda mahali popote, ni lazima wawe na mwongozo usio tiliwa mashaka ni nini wanatakiwa kukifanya. Kama wanalinda amani, kukitokea kichaa yeyote anawashambulia, ni lazima akipate cha moto bila ya huruma yoyote. Hili liwe wazi kwa kila muhusika kabla ya yote. Hata hao wanao fadhili uwepo wa askari wetu huko, ni lazima wawe wanajuwa hivyo.
Maisha ya askari wetu hayawezi kununuliwa kipuuzi hivyo. Licha ya hizi aibu tunazo zipata sasa hivi.
 
Ukiwa under UN kuna rules zinakubana. Ila hawa hawa wangekuwa under AU rules story ingekuwa tofauti

Kwenye vita yule ambae mikono yote iko free, yaani ana ruhusa ya kufanya lolote ili ashinde hiyo ndio ata perform vizuri else ni majanga
Acha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
 
Daah wametengeneza chuki Moja Kali sana
 
Unaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.

Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
Lakini wewe mwenyewe hujatuonyesha chochote kuwa siyo "mpumbavu" zaidi ya huyo unaye msema hapa.
Kwa maandishi uliyo weka, ni wazi wewe ni mpumbavu zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…