Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Jeshi lote la SMIDRC ( South africa ,3000 , Tanzania 1000, Malawi 1000, ) hawa wote ni matekwa, they check the documents.

IMG_1286.jpeg
 
Attachments

  • IMG_1283.jpeg
    IMG_1283.jpeg
    345.4 KB · Views: 2
  • IMG_1285.jpeg
    IMG_1285.jpeg
    462.4 KB · Views: 1
  • IMG_1286.jpeg
    IMG_1286.jpeg
    648 KB · Views: 3
  • IMG_1282.jpeg
    IMG_1282.jpeg
    97.9 KB · Views: 1
This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania, Malawi, and South Africa, as well as more than 10,000 troops from Burundi, Wazalendo forces, and FARDC. They were searched by Normal Police at Rwandan - DRc Boarder and their hand bags
Chini ya serikali pumbff ya samia watakuja hata kupigwa tigo
 
This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania, Malawi, and South Africa, as well as more than 10,000 troops from Burundi, Wazalendo forces, and FARDC. They were searched by Normal Police at Rwandan - DRc Boarder and their hand bags
Vita ni vita muraa...
Na hatuwezi kusema tumeshindwa wakati jeshi lenyewe kutoka Tanzania hawakuwa hata 500 na bado maelekezo ya namna ya kupigana na kupiga wapi yalitoka moja kwa moja kutoka vikosi vya UN.. ila bado nimejisikia vibaya sana..

Yaani nilikuwa nakula hata chakula kula nimeshindwa kumaliza haa wasenge rwanda ipo siku yao kenge hawa.
 
Mimi napenda kujuwa tu kama kwenda huko (DRC), walipitia pia Rwanda, na kama walipekuliwa na kucheleweshwa mpakani kama ilivyo wakati wakirudi.

Je silaha zao zilipitia wapi?

'Adventure' za aina hii inabidi zikome.
Jeshi letu linapokwenda popote kupigana, au hata kulinda amani, ni lazima liwe tayari kukabiliana na hali iliyopo bila ya kubanwa banwa na taratibu zinazo hatarisha maisha yao.
 
Ukiwaangalia wanavyofanya maonyesho kuwafurahisha wajinga wa CCM ili kuwatisha Watanzania wasio na hatia alafu ukiangalia hapo wanavyodharilishwa na hao askari wa Kagame unajisemea tu moyoni kuwa Jeshi letu linatakiwa kupata Viongozi wanaojitambua sio cowards wa wanasiasa.
Hii kitu haitapita Bure!

Wakikasirika hao jamaa Huwa hawaitishi press, ni vitendo.

Tusubiri
 
Kwa kifupi jeshi letu liamke na kuacha kuwa makondoo wa CCM. Haya ndo matokeo ya Jeshi kuwa vibaraka wa wanasiasa wajinga.

Warudi kwenye miiko yao ya kusimamia nchi na wananchi under professionalism. Mkishazoea kutumwa na Wanasiasa kufanya usafi ili kutisha wananchi wasidai haki zao haya ndo matokeo yake. Mnaishiq kudharirishwa na nchi ambazo mlivifundisha vikosi vyake wakati fulani
Unaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.

Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
 
Wazee mbona mnaongea sana vitu msivyovijua? Vita ya Congo sio yetu, ni vita kati ya jeshi la Congo na waasi wa M23. Sadc wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. UN wamepeleka troops kulinda amani na askari wetu wapo. Hizo troops zote zinafuata maelekezo ya SADC na UN hao ndio wenye mwamvuli. Na ukisikia kulinda amani sio kuleta Amani au kutengeneza Amani, kulinda Amani ni kulinda hiyo amani ndogo iliyopo hapo.
Sasa tueleze wewe hapo "wamelinda amani" gani? Matokeo si umeyaona?
Unalinda amani huku ukiuliwa?

Wewe unasema watu wanaongea sana vitu wasivyo vijua. Kuna kitu gani cha ajabu hapo ambacho hakiwezi kufahamika?
'Bottomline' nikwamba hatuwezi kuwa na jeshi la kuchezea chezea na kukodisha. Askari wetu wanapo kwenda mahali popote, ni lazima wawe na mwongozo usio tiliwa mashaka ni nini wanatakiwa kukifanya. Kama wanalinda amani, kukitokea kichaa yeyote anawashambulia, ni lazima akipate cha moto bila ya huruma yoyote. Hili liwe wazi kwa kila muhusika kabla ya yote. Hata hao wanao fadhili uwepo wa askari wetu huko, ni lazima wawe wanajuwa hivyo.
Maisha ya askari wetu hayawezi kununuliwa kipuuzi hivyo. Licha ya hizi aibu tunazo zipata sasa hivi.
 
Ukiwa under UN kuna rules zinakubana. Ila hawa hawa wangekuwa under AU rules story ingekuwa tofauti

Kwenye vita yule ambae mikono yote iko free, yaani ana ruhusa ya kufanya lolote ili ashinde hiyo ndio ata perform vizuri else ni majanga
Acha kututetea. Tumefukuzwa,tumeondolewa,tumekimbizwa,tumedhalilishwa,tumefedheheshwa, tumekaguliwa na tumenyang'anywa Kila kitu. Kagame anajambo lake ambalo tusipoonyesha ukubwa wetu,tutaendelea kufedheheshwa sana.
 
Vita ni vita muraa...
Na hatuwezi kusema tumeshindwa wakati jeshi lenyewe kutoka Tanzania hawakuwa hata 500 na bado maelekezo ya namna ya kupigana na kupiga wapi yalitoka moja kwa moja kutoka vikosi vya UN.. ila bado nimejisikia vibaya sana..

Yaani nilikuwa nakula hata chakula kula nimeshindwa kumaliza haa wasenge rwanda ipo siku yao kenge hawa.
Daah wametengeneza chuki Moja Kali sana
 
Unaandika upumbavu sana. Hivi nani alikudanganya kila jambo la kitaifa linakuwa na sababu za kisiasa. Mambo ya Jeshi yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Baki kwenye siasa za CDM na CCM.

Suala hilo la kihuni halitapita bure bila kujibiwa vikali.
Lakini wewe mwenyewe hujatuonyesha chochote kuwa siyo "mpumbavu" zaidi ya huyo unaye msema hapa.
Kwa maandishi uliyo weka, ni wazi wewe ni mpumbavu zaidi!
 
Back
Top Bottom