Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Walikwenda kulinda amani na kupeana MIMBA na sio kupigana vita.
 
Duh,
Tatizo lilianzia kwa yule mama asiyejua hata kutumia binoculars kuwa waziri wa ulinzi!!

Kagame asije tu akaigeuza Tz kubwa jinga kama alivyoifanya DRC.

Kuna hatari kubwa sana kuhusiana na suala hili.

Paul Kagame anajua kwamba Sasa hivi Tz haitishi tena kama enzi hizo za tawala za maRais strong Kama vile Nyerere.

Wewe jaribu tu kufikiria; Rais wa nchi ni Mwanamke, Spika wa Bunge ni Mwanamke, Waziri wa Ulinzi naye ni Mwanamke!
Unavyoona hapa kuna kitisho gani?
Nafikiri hadi itakapofika mwakani wa 2026 tunaweza kuwa na balaa kubwa zaidi, kwa sababu hata Jaji Mkuu anaweza kuwa Mwanamke na hata CDF huenda anaweza kuwa Mwanamke pia!

We are doomed!
 
nan kampa mandate Rwanda ya kupokea watu kutokea DRC bila kibali cha DRC , je wizara ya uhamiajiya DRC ilihusishwa hapo ? je tutaamin vip kama hii si tabia zoefu ya Rwanda kupokea waasi wa Rwanda kwa namna hii hii , kisha kuwapa training na kuwarudisha DRC kupigana na serikali ya DRC

AU IPO KIMYA SANA , ILIBIDI HAYA MAJESHI YAPEWE NAFASI YA KUPITIA KINSHASA ILI WARUDI NYUMBAN , YAAN ILIBID IWEKWE CEASEFIRE KUWAPISHA WASIOHUSIKA WATOKE NDAN YA DRC , ILA RWANDA KUTOA MLANGO WA KUTOKEA , HILI NI JIBU TOSHA KUWA RWANDA ANAHUSIKA KATIKA KUFADHILI HAO WAASI , JE RWANDA ANANUFAIKAJ KUWAFADHIL HAO WAASI
 
Upuuzi tupu!

Wenzako wanadhalilishwa huko na M23, halafu wewe unakuja hapa mtandaoni kuweka porojo zako!
Wewe akili yako fupi sana. Jw we mtusi hamuiwezi kwa chochote. Wanaenda congo wapumbavu wale wanasalitiana nasaliti majeshi ya kigeni alafu unakuja hapa jukwaani mnajamba Jamba tu. Jw hamuiwezi vamieni Tanzania Kama mlivyofanya congo muone mziki.
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
Wamedhalilisha ndiyo ila yule ni captain sio kanali
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
Wewe unayekabwa kwa bisibisi tu unamkejeli kamanda aliyejisalimisha?

Umeshawahi kuisikia AK 47 inapounguruma?
 
Rwanda wametufanyia kitu kibaya sana. JWTZ ione namna ya kulipa kisasi kikali. Tusipolipiza kisasi huyu PAKA na jeshi lake ataanza kusema Ngara na Karagwe ni yake kama anavyo itamani Kivu Kaskazini
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
Jeshi limesheheni MAKADA WA CCM hamna kitu pale. Hukusikia Samiya amewaambia waanze kujiandaa kwaajili ya Uchafuzi Mkuu 2025?
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
Hayo wameyataka wao wenyewe kwa sababu za kupuuzia maoni ya Wananchi.
 
Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
Weka hiyo video tuone
 
Kagame anacheza karata zake kwa akili zaidi. Jwtz wanacheza karata zao kichawa.

How the hell, wakati wanaenda Congo hawakupigwa search na Rwandan soldiers. Then wakati wakurudi wanapigwa search na kuchomeshwa maindi.

Mdhamini wa M23 anawapiga search JWTZ kama mtu anapima uzito wa kuku

Tho Hata plan B ya kukwepa kutumia mpaka wa Rwanda walikua hawana. 💔

JWTZ Wajitathmini.
 
Wangewezaje kukwepa kutumia mpaka wa Rwanda wakati hao Wanajeshi walikuwa MATEKA wa M23?

Hivi mfungwa anaweza kujichagulia gereza??
 
Wewe akili yako fupi sana. Jw we mtusi hamuiwezi kwa chochote. Wanaenda congo wapumbavu wale wanasalitiana nasaliti majeshi ya kigeni alafu unakuja hapa jukwaani mnajamba Jamba tu. Jw hamuiwezi vamieni Tanzania Kama mlivyofanya congo muone mziki.
Jeshi limesheheni UVCCM na MAKADA, hakuna weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…