Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #541
Yule sio kanali ni Captain ( nyota 3 kama sikosei).Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
All in All inasikitisha sana