JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Huo ni mwanzo tu, tutadhalilishwa mpaka akili zikae sawa,
M23, hii sio Rwanda pekee, Kagame ni puppet wa west, nchi yake inatumika kuiba madini, anapewa siraha na ufaransa, Belgium, anasaidiwa inteligensia ya hari ya juu, UK na America, wanaona ushirika wa South Afrika, SaDC, ni kuikaribisha Russia kwa mgongo wa nyuma, haiwataki hili, SA ni member wa BRICS, Tishekedi, amejifanya kichwa ngumu, sasa atapigwa, apinduliwe au nchi itamegwa katikati kama ilivyokuwa Sudan, ikajengwa South Sudan, kisa America anataka madini na mafuta ya kusini,
Intelijensia ya TZ, ni uchawa na kukamata wspinzani,
Congo pale, ni proxy war,
Tunapugana na UK, US by extension,
Ukitaka kuelewa hili, sikiliza mahojiano ya mkuu wa majeshi wa Nigeria kuhusu Boko Haram,