Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

South Africa hawana Jeshi, wana kikundi cha wahuni wakisema ndio jeshi la nchi ya SA.

 
Nimefuatilia kwenye vya zo.mbalimbali vinasema kwamba jeshi tu la akiba na raia wano miliki siraha wanauwezo mkubwa sana kivita kuliko hao jamaa wa rwanda
 
Wewe unae andika ni mwanapropaganda ingie AI wakwambie uwezo wa JWTZ
 
Baada ya kuona hiyo video nikasikitika lakini nikatabasamu,kwa sasa hatuna jeshi lenye weledi siasa imeingia kila mahali hadi sehemu za msingi.
 
Kuna wakati Amerika walidhihirishwa na Al Shabaab...

Tanzania tulisakwa mda mrefu sana tudhalilishwe hatimaye wamefanikiwa...

Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka kipindi tumepigwa ambush iliyoua wanajeshi 12 msemaji wa majeshi ya umoja wa mataifa alisema wanajeshi wa Tanzania wana mafunzo dhaifu...

Hiyo kauli haikupaswa kutolewa na mtu kama yeye...

Mungu ibariki Tanzania.
 
It's my firm conviction that this JWTZ of today is a pale shadow of an impressive and formidable TPDF that used to row in the southern parts of Africa and the one that drove dictator Idi Amin away from power in Uganda in the year 1979.

The today's JWTZ is tammed force that has been massively politicized by the ruling party thus completely compromising its combat potential resulting into the force to be reduced to a paramilitary force.
 
Tuichukue kama challenge sasa,tuanze kuweka nguvu kwenye mifumo na sio siasa.

Vita ya sasa inahitaji technolojia na jeshi ambalo liko updated na mbinu za kisasa front line.

Tunapaswa kuajiri vijana wenye uelewa na kiwango kizuri cha Elimu ili kuendana na kasi ya sasa ya technolojia jeshini, tuache kuishi kwa historia ya Amin mwaka 1978 mambo yanabadirika kila siku.
Tunashida ya discipline kwa Askari wetu mitaani huku kuona raia, na kutumika kwenye issue za kisiasa matokeo yake tunakuwa na jeshi la kisiasa na sio jeshi imara la kulinda mipaka na kupambana na vitisho.
 
Mi nikajua wamedhalilishwa kwa kupokea kichapo mpaka wameacha viatu na kukimbilia mpakani kumbe mambo ya protokali hayo ya kawaida mbona, hata mtz ukijulikana upo Rwanda unavuka border utasachiwa mpaka mazivu.
Wamechapika na kusalimu amri elewa wanaposema wengine ni majeruhi na hata wale waliouawa bado miili yao ipo huko M23 wameizuia
 
Hakuna nchi itapeleka jeshi lake imara na kuhatarisha maisha ya vikosi vyake imara kisa tu vimaneno vya pride za wananchi zimetikiswa nchi nyingi huangazia maslahi mapana ya muda mrefu na hisia za mpito ndani ya dk 3 hadi 4 zimepita wala haviwashughulishi.
Makada wameambiwa wajiandae na uchafuzi mkuu 2025, mambo ya vita watayawezea wapi?

 
Wewe unae andika ni mwanapropaganda ingie AI wakwambie uwezo wa JWTZ
Uwezo wake unajulikana ni kulinda maslahi ya CCM

 
Kuna ukweli ndani ya uliyo sema hapa. Sina hakika kama jeshi hili bado ni la wananchi wa Tanzania.
Kama ilivyo kwa maeneo mengine yote jeshi nalo sasa linawajibika kwa CCM.
NANI KAKUAMBIA NI LA WANANCHI
sasa hivi ni SECURITY GUARD YA BWANA ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE.
 
Kuna wakati Amerika walidhihirishwa na Al Shabaab...

Tanzania tulisakwa mda mrefu sana tudhalilishwe hatimaye wamefanikiwa...

Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka kipindi tumepigwa ambush iliyoua wanajeshi 12 msemaji wa majeshi ya umoja wa mataifa alisema wanajeshi wa Tanzania wana mafunzo dhaifu...

Hiyo kauli haikupaswa kutolewa na mtu kama yeye...

Mungu ibariki Tanzania.
UKWELI USEMWE WAKAFANYE USAFI JIJI CHAFU.
 
Back
Top Bottom