Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Tofauti yao ni sie ni moja tu. Wakati sie saivi tumewekeza sana kwenye uchawa, kujipendekeza, wizi hadi wa chaguzi za vijiji na mitaa, kudharau wasomi na wenye akili huku madaraka yakishikwa na wajinga wao wamewekeza kwenye wasomi, kutumia zaidi akili na tafiti ili kuifanya nchi yao kuwa bora.
 
Mimi naona pengine kulikuwa na protokali za kiusalama zilikuwa lazima zifuatwe kabla ya kuvuka mpaka ndio maana kukawa na delay hiyo. Sijaona jambo la ajabu hapo.🤔
 
Mimi naona pengine kulikuwa na protokali za kiusalama zilikuwa lazima zifuatwe kabla ya kuvuka mpaka ndio maana kukawa na delay hiyo. Sijaona jambo la ajabu hapo.🤔
Issue inaratibiwa na UN na SADC alafu unasema hakuna delay?

Kwenye haya masuala hakuna jambo linalofanywa kwa bahati mbaya. Hapo jamaa anajaribu kuwaonesha You are nothing to me na hamuwezi kunifanya chochote.

Hapo jamaa anawatumia message kuwa mie ndo mtabe wa eneo hili na mkome kuja huku.

Hawajacheleweshwa kwa bahati mbaya.
 
PAKA hacheki na wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…