Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Hii Code ya leo ni sawa na hesabu za Logarithm😂 bila four figure hutoboiKuna mawili,umepata ujumbe na umekugusa au hujaelewa chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Code ya leo ni sawa na hesabu za Logarithm😂 bila four figure hutoboiKuna mawili,umepata ujumbe na umekugusa au hujaelewa chochote.
Haija tally kabisa kwanguIko shallow sana leo
Huyu ni nani??Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya
Kweli??Hivyo uchaguzi wa mifugo bora huko mwituni unaanza
Bila shaka hii ni ndege ya kubebea mizigo!Baada ya kitambo kidogo tingatinga kubwa wenye mabawa kutoka jangwani linatua kiwiziwizi na kifichoficho
Ni wakati sasa wa wapendwa kwenda kupokea asante ya manemane , uturi halua
Wapendwa wakifika kwa jirani wanaweza kupoteza maboya kwa kuzunguka mbuyu mpaka huko bondeni kishapo jangwani
Je, ile likizo lengo lililikuwa hili??Kichochoro cha kwa jirani kupitia bondeni (sio bonde la ufi)
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?
Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio
Bibi, ni wazi gari lako limekataa kupanda mlima...usilazimishe, liegeshe pembeni mengine yapande.Hakuna taste ya kusomwa. Huna fasihi, usijilazimishe.
AFadhali umeweka kilainishiKuna ukweli kwenye hii ''fasihi ya kulazimisha?'' Mshana Jr ni kama ametupa jiwe gizani likakupata!
1. Mwarabu anatua kwenye mbuga zetu
2. Anachagua wanyama na kwenda kuchukuwa dege kubwa la kuwababeba na kufaniwa kuwafikisha uarabuni salama
3. Unafika wakati wa kwenda kuchukuwa malipo
4. Anaondoka ''fulani'' lakini kwa kupitia nchi jirani ili kupoteza watu maboya, ili akaunganishe kupitia Afrika Kusini
5. Alipofika Afrika Kusini..........
Hakuna code hapo...Umeelewa kilichoandikwa au umekurupuka!?
Halafu cha ajabu umekuwa wa Kwanza Kusoma 🤣🤣Una kaujuaji ka ajabu sana aisee.
We are missing you Brother,usikae sana kimya.Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko
Nambari 1
Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na anabwagiwa misifa kama yote na wapendwa
Je baada ya wahandisi kuondoka na mafoto yao .. Ninini kilijiri mwituni kizani nyuma ya pazia?
Nambari 2
Huu ulimwengu wa leo hauna na haujui kitonga ganda la ndizi.. Ni nipe nikupe.. Hivyo uchaguzi wa mifugo bora huko mwituni unaanza.. Nipe mifugo nikupe chemchem na vijito na manemane na uturi nakazalika kazaa!
Uchaguzi wa mifugo bora unapikamilika, means jangwa anaondoka kwenda kuchukua tingatinga la kubeba mifugo yake
Mwana jangwa kweli hana haya.. Yaani vijito vyangu, chemchem zangu, mifugo yangu. halafu unasema kimoja umenipa ili uchukue kingine😡
Nambari 3
Baada ya kitambo kidogo tingatinga kubwa wenye mabawa kutoka jangwani linatua kiwiziwizi na kifichoficho kama wevi mwituni na kuondoka na mifugo ya kutosha sana sana chini ya usimamizi madhubuti wa wapendwa🤔😭
Nambari 4.. Tamka ine!
Chemchem na vijito mmepata.. Mifugo imeshaondoka salama mwituni na kuwasili Salama jangwani.. Ni wakati sasa wa wapendwa kwenda kupokea asante ya manemane , uturi halua
Changamoto ni moja... Namma ya kuchomoka bila maswali ya wahandisi vizabizabina.. AWOL itafaa? La hasha.. But who cares!
Wapendwa wana uwezo wa kupita vichochoro hadi kwa jirani bila shida .. Mone tok mai flend.. Wapendwa wakifika kwa jirani wanaweza kupoteza maboya kwa kuzunguka mbuyu mpaka huko bondeni kishapo jangwani
Nambari 5
Wewe ukijua hivi wale wanajua vile.. Kichochoro cha kwa jirani kupitia bondeni (sio bonde la ufi) mpaka jangwani kina mengi ya kusimulia maana kimeyaona yote!
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?
Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio
Tukutane part two kama tetesi zitakoma...
Good morning Tanganyika!View attachment 3065758
😂😂Ukileta maada direct unatafutwa ndani ya masaa 24 uwe umekamatwaPOST ZA AKILI KUBWA HIZI VILAZA NA WALIOSOMA MEMKWA WANABAKI KUTOA MANENO YA SHOMBO KUONESHA UJINGA WAO