Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
.......baada ya kutoka patupu, acha nione koments huenda nikaambuliapo chochote!!!!!......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maostadhi kwanini hawakuanza na hilo likunguru lilikonyenyuka na mifugo yetu ya kurithi halafu tukatangaziwa kwamba lilipata hitilafu ya inijini?Mtoto pendwa ndo alitumwa akachukue malipo ya mnada wa twiga wetu kupitia Madibani halafu maostaadhi wakamzunguka wakamkolimba?
Nimecheka sana Chala sumbawanga kampuni ya ulinziMfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko
Nambari 1
Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na anabwagiwa misifa kama yote na wapendwa
Je baada ya wahandisi kuondoka na mafoto yao .. Ninini kilijiri mwituni kizani nyuma ya pazia?
Nambari 2
Huu ulimwengu wa leo hauna na haujui kitonga ganda la ndizi.. Ni nipe nikupe.. Hivyo uchaguzi wa mifugo bora huko mwituni unaanza.. Nipe mifugo nikupe chemchem na vijito na manemane na uturi nakazalika kazaa!
Uchaguzi wa mifugo bora unapikamilika, means jangwa anaondoka kwenda kuchukua tingatinga la kubeba mifugo yake
Mwana jangwa kweli hana haya.. Yaani vijito vyangu, chemchem zangu, mifugo yangu. halafu unasema kimoja umenipa ili uchukue kingine😡
Nambari 3
Baada ya kitambo kidogo tingatinga kubwa wenye mabawa kutoka jangwani linatua kiwiziwizi na kifichoficho kama wevi mwituni na kuondoka na mifugo ya kutosha sana sana chini ya usimamizi madhubuti wa wapendwa🤔😭
Nambari 4.. Tamka ine!
Chemchem na vijito mmepata.. Mifugo imeshaondoka salama mwituni na kuwasili Salama jangwani.. Ni wakati sasa wa wapendwa kwenda kupokea asante ya manemane , uturi halua
Changamoto ni moja... Namma ya kuchomoka bila maswali ya wahandisi vizabizabina.. AWOL itafaa? La hasha.. But who cares!
Wapendwa wana uwezo wa kupita vichochoro hadi kwa jirani bila shida .. Mone tok mai flend.. Wapendwa wakifika kwa jirani wanaweza kupoteza maboya kwa kuzunguka mbuyu mpaka huko bondeni kishapo jangwani
Nambari 5
Wewe ukijua hivi wale wanajua vile.. Kichochoro cha kwa jirani kupitia bondeni (sio bonde la ufi) mpaka jangwani kina mengi ya kusimulia maana kimeyaona yote!
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?
Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio
Tukutane part two kama tetesi zitakoma...
Good morning Tanganyika!View attachment 3065758
Tatizo tunadanganywa sana..!! Mara yupo anachapa kazi zake, mara ghafra wakatupa swali kwamba, hadi aonekane Migomigo?? Kwasasa tumehisi tumedanganywa na mapumziko..!! Lakini mficha maradhi kifo humuumbua.Kila nafsi itaonja mauti...
Sitashangaa akiondoka, maana hiyo ni ahadi ya Mwenyezi juu yetu...
Lakini sisi tunaoombea vifo vya wenzetu tunazitambua siku zetu za mwisho?
Uko sawa lakini mbona sijawahi kusikia mkiuliza, wapi alipo mkuu wa mkoa wa rukwa? maana hasikiki...Tatizo tunadanganywa sana..!! Mara yupo anachapa kazi zake, mara ghafra wakatupa swali kwamba, hadi aonekane Migomigo?? Kwasasa tumehisi tumedanganywa na mapumziko..!! Lakini mficha malazi kifo humuumbua.
BTW, waliomwombea kifo mpendwa wetu wa zamani, kwa kusema IKULU siyo wodi, na wengine walipiga pushiapuuu wakaanza wao..!!! Lakini hadi leo wapo pamoja huko waliko ambako nasi tunalekea.
Kutaka kujua aliko mtanzania mwenzetu ni haki yetu, hasa ukizingatia kuwa tumempa majukumu kupitia mteuaji mkuu wa nafasi zile..!
YUKO WAPI MWENZETU?
Makongoro! Mbona yupo. Hukumuona ktk ziara ya Presida!?Uko sawa lakini mbona sijawahi kusikia mkiuliza, wapi alipo mkuu wa mkoa wa rukwa? maana hasikiki...
Anauliziwa ambaye anapenda kushinda na kutembea na media. Sasa akitoweka ghafla kwanini asiuliziwe?Uko sawa lakini mbona sijawahi kusikia mkiuliza, wapi alipo mkuu wa mkoa wa rukwa? maana hasikiki...
Huenda uko sawa ila usiwe sahihi...Anauliziwa ambaye anapenda kushinda na kutembea na media. Sasa akitoweka ghafla kwanini asiuliziwe?
Huyo hakuna tetesi zozote juu yake. Huyu mwingine kuna tetesi za kupewa sumu..!!Uko sawa lakini mbona sijawahi kusikia mkiuliza, wapi alipo mkuu wa mkoa wa rukwa? maana hasikiki...
Hakuna cha code. Alichoandika hata yeye hakielewi na hawezi kifafanua. Au ndo wewe mwenyewe umerudi kwa another ID? Hapa ameandika upupu tu hakuna la maana. Alitaka kusema ametumia code. Lakini nadhani ametumia Kodi. Hamna kitu, yaani empty.code ngumu
Nataka nikuowe uwe mke wa pili na dini nitabadiliHakuna taste ya kusomwa. Huna fasihi, usijilazimishe.
wewe umri ushaenda unamaliza bando tu huwezi elewaHakuna taste ya kusomwa. Huna fasihi, usijilazimishe.
Naunga mkono hojaUna kaujuaji ka ajabu sana aisee.
Msahana! sijaambulia kituMfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko
Nambari 1
Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na anabwagiwa misifa kama yote na wapendwa
Je baada ya wahandisi kuondoka na mafoto yao .. Ninini kilijiri mwituni kizani nyuma ya pazia?
Nambari 2
Huu ulimwengu wa leo hauna na haujui kitonga ganda la ndizi.. Ni nipe nikupe.. Hivyo uchaguzi wa mifugo bora huko mwituni unaanza.. Nipe mifugo nikupe chemchem na vijito na manemane na uturi nakazalika kazaa!
Uchaguzi wa mifugo bora unapikamilika, means jangwa anaondoka kwenda kuchukua tingatinga la kubeba mifugo yake
Mwana jangwa kweli hana haya.. Yaani vijito vyangu, chemchem zangu, mifugo yangu. halafu unasema kimoja umenipa ili uchukue kingine😡
Nambari 3
Baada ya kitambo kidogo tingatinga kubwa wenye mabawa kutoka jangwani linatua kiwiziwizi na kifichoficho kama wevi mwituni na kuondoka na mifugo ya kutosha sana sana chini ya usimamizi madhubuti wa wapendwa🤔😭
Nambari 4.. Tamka ine!
Chemchem na vijito mmepata.. Mifugo imeshaondoka salama mwituni na kuwasili Salama jangwani.. Ni wakati sasa wa wapendwa kwenda kupokea asante ya manemane , uturi halua
Changamoto ni moja... Namma ya kuchomoka bila maswali ya wahandisi vizabizabina.. AWOL itafaa? La hasha.. But who cares!
Wapendwa wana uwezo wa kupita vichochoro hadi kwa jirani bila shida .. Mone tok mai flend.. Wapendwa wakifika kwa jirani wanaweza kupoteza maboya kwa kuzunguka mbuyu mpaka huko bondeni kishapo jangwani
Nambari 5
Wewe ukijua hivi wale wanajua vile.. Kichochoro cha kwa jirani kupitia bondeni (sio bonde la ufi) mpaka jangwani kina mengi ya kusimulia maana kimeyaona yote!
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?
Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio
Tukutane part two kama tetesi zitakoma...
Good morning Tanganyika!View attachment 3065758
Coco. poleAiseeee...
Habari za huko wanga uliacha kutupa.. Tumezimisi.. Ndizo bado zinakupa maono?