Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

Kuna ukweli kwenye hii ''fasihi ya kulazimisha?'' Mshana Jr ni kama ametupa jiwe gizani likakupata!
1. Mwarabu anatua kwenye mbuga zetu
2. Anachagua wanyama na kwenda kuchukuwa dege kubwa la kuwababeba na kufaniwa kuwafikisha uarabuni salama
3. Unafika wakati wa kwenda kuchukuwa malipo
4. Anaondoka ''fulani'' lakini kwa kupitia nchi jirani ili kupoteza watu maboya, ili akaunganishe kupitia Afrika Kusini
5. Alipofika Afrika Kusini..........
Wewe tumewaza pamoja kumbe 😍
 
Mama Mwana njoo nikufungulie code shosti

1. Unaikumbuka sinema ya mbugani? Basi hapo anasema ile sinema ilikuwa ni kutaka kuonyesha bidhaa walizonazo kwenye soko la biashara.!!

2.Baada ya sinema wale jamaa wa visima vya mafuta wakashinda uzabuni na wanapanga waje kusomba mbuzi na ng’ombe

3.Wakaleta mwewe mkubwa wakapandisha ng’ombe na mbuzi na aina nyingine ya mifugo

4.Baada ya mauzo wakaenda mpk kwa Madiba ili kupoteza maboya wakachukue mpunga kwenye mji wa visima vya mafuta na huko aliyetumwa ndio koh koh koh (mwanasheria wangu hapokei simu) 🤣

5.Hapa 😭😭😭😭
Tusubiri maelekezo inavyosemekana mjumbe hayuko okay.

Nothing serious mi najaribu kuifungua codes 😹
ndio naingia leo wacha nianze kusoma upya niunganishe dots asante sana unafaa mno
 
Back
Top Bottom