Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya
Huyu ni nani??
Hivyo uchaguzi wa mifugo bora huko mwituni unaanza
Kweli??
Baada ya kitambo kidogo tingatinga kubwa wenye mabawa kutoka jangwani linatua kiwiziwizi na kifichoficho
Bila shaka hii ni ndege ya kubebea mizigo!
Ni wakati sasa wa wapendwa kwenda kupokea asante ya manemane , uturi halua
Wapendwa wakifika kwa jirani wanaweza kupoteza maboya kwa kuzunguka mbuyu mpaka huko bondeni kishapo jangwani

Tutapokea vipi malipo?? Chukua likizo nenda South?? Halafu Arabauni??
Kichochoro cha kwa jirani kupitia bondeni (sio bonde la ufi)
Je, ile likizo lengo lililikuwa hili??
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?
Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio

Mh, hapa hakueleweki ngoja tusubiri! Ni muendelezo wa tetesi!

By mchambuzi wa data anayejitegemea! Ni mtazamo wangu!
 
Je wapendwa walifanikiwa kuvuka bonde na kufika jangwani?

Je bonde lilibeba uvuli wa mauti? Ziraili hana kikao lakini ana kikalio
🤔🤔
 
Na iwe roho zitutuwe, Kule kwetu Kuna msemo lazima ukale kwenye arobaini maana ule ni mkopo lazima ulipe.
 
AFadhali umeweka kilainishi

Hapa sasa tunaweza kuelewa.
Kazi ya ziraili na ikatimie.
 
We are missing you Brother,usikae sana kimya.
Tunaojua kukisoma KISWAHILI kwa ufasaha na Usanifu,tunajifunza na kupata ILM adhimu sana.
Brittanica yupo alikuwa anatupa MaDINI pia bila hiyana.
✌🏿.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…