Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

Mtoto pendwa ndo alitumwa akachukue malipo ya mnada wa twiga wetu kupitia Madibani halafu maostaadhi wakamzunguka wakamkolimba?
Maostadhi kwanini hawakuanza na hilo likunguru lilikonyenyuka na mifugo yetu ya kurithi halafu tukatangaziwa kwamba lilipata hitilafu ya inijini?
 
Nimecheka sana Chala sumbawanga kampuni ya ulinzi
 
Kila nafsi itaonja mauti...

Sitashangaa akiondoka, maana hiyo ni ahadi ya Mwenyezi juu yetu...

Lakini sisi tunaoombea vifo vya wenzetu tunazitambua siku zetu za mwisho?
Tatizo tunadanganywa sana..!! Mara yupo anachapa kazi zake, mara ghafra wakatupa swali kwamba, hadi aonekane Migomigo?? Kwasasa tumehisi tumedanganywa na mapumziko..!! Lakini mficha maradhi kifo humuumbua.

BTW, waliomwombea kifo mpendwa wetu wa zamani, kwa kusema IKULU siyo wodi, na wengine walipiga pushiapuuu wakaanza wao..!!! Lakini hadi leo wapo pamoja huko waliko ambako nasi tunalekea.

Kutaka kujua aliko mtanzania mwenzetu ni haki yetu, hasa ukizingatia kuwa tumempa majukumu kupitia mteuaji mkuu wa nafasi zile..!

YUKO WAPI MWENZETU?
 
Uko sawa lakini mbona sijawahi kusikia mkiuliza, wapi alipo mkuu wa mkoa wa rukwa? maana hasikiki...
 
Msahana! sijaambulia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…