Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

Wewe ulie na Nyuma Bong'oa tukuone😁
Seems ndo michezo yako...usijaribu kuniambukiza tafadhali... There r so many alternative ways you can use to find ur adherents, not the one u're trying to apply.
 
Seems ndo michezo yako...usijaribu kuniambukiza tafadhali... There r so many alternative ways you can use to find ur adherents, not the one u're trying to apply.
Your boss can comprehend what you have written?

A man from chatu😁😁
 
Aliwaambia wanywe bia?
Hao wanapesa za kujinunulia hennesy, anawaletea uboya! Huyu mwita mwisho wake utakuwa mbaya sana, namuonea huruma!
Wananchi walivyohisi tu ananuka pombe hawajataka hata kumsikiliza mara 2.
 
Mimi nilikuwepo mbona sijaona huo mnusuriko wa kichapo? Bavicha mnafeli wapi?
Hata kama ni mshabiki, lakini mwambie Mwita akachezee Ukonga sio Mwanza na mikoa mikoa minngine kama Mara.

Na wala asijaribu kuja kugombea Ubunge Mara, kwani namsikia eti anataka kuja huku kujaribu bahati yake. We Mwita!
 
😆😆😆😆 Mmeficha korona weee mnaona haitoshi mnataka kuficha na haya !
 
Waitara ana bahati sana ! kuna mwanaccm mwenzie aliuawa kwa mawe hapo hapo mwanza na kwa sababu hiyo hiyo
 
Hili unaloliita jambo dogo sisi wananchi tunaliona ni jambo tunalopaswa kuhabarishwa kama mlivyotuhabarisha lile tukio la Mbowe kuletewa fujo na mataga kwenye mkutano wake huko Hai.

Kwa kifupi tulieni dawa iwaingie.
 
Hata Mimi nashangaa habari ile kupewa kipaumbele,watu wenyewe hata 20 hawafiki.Hawa Itv wakati mwingine huwa wanaonesha rangi yao halisi,wale wana kamlengo fulani kakichademachadema mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu tuliwaona.Itv jirekebisheni,watz tunawashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…